DOKEZO Scam Alert: Kalynda E-Commerce Investment ni Qnet Inayochipukia, ITV watumika

DOKEZO Scam Alert: Kalynda E-Commerce Investment ni Qnet Inayochipukia, ITV watumika

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Kuna mtu alinitumia hii kitu majuzi. Kumbe...

Hii ni company inajihusisha na ecommerce .. yaan kufanya kazi mitandaoni na kulipwa malipo yko...
Kazi hii iko hvi:-

Unajiunga kwa kupitia link ambayo nitakutumia mm... Then ukishajisajili unwekeza kiwango cha fedha. (Mwanzo ni kuanzia 20000 na kuendelea) hii iko level mbili mpka ss.. inaitwa vip 1 na vip 2.

Ukishawekeza hyo hela ss ww kazi unayotakiwa kufanya ni kuingia (login) ktk hyo tovuti yao.. na kuanza kuzipa bidhaa 20 nyota 5 na kuipa sifa hyo bidhaa (Kampuni hii inashirikiana na shoppingonline 4)

Na kulipwa inalingana na kieango chako cha uwekezaji.. km utaekeza 50000 bas kila ukiingia na kufanya hyo kazi utaipwa 2000 na kila pesa unapozidi na malipo pia huongezeka.

Chengine ni pale unapomuunga mtu kupitia link yako bas utalipwa percent kadhaa kila anapofanya hyo kazi yake. Na utakapoingiza watu watano tu bas wanakupa fursa ya kuingia vip2 ambayo nayo ni kuanza kuekeza kuanzia laki 2 mpka million. Na ukitimiza hapo wanakupa laki 5 ya kufungua ofisi yako nchini tz ili uwe km ni wakala wa kylinda.

Ukiwa na suali lolote usisite kuniulizaaa.
ShukranView attachment 2359862
Hata Qnet walikuwa na documents za Brela na TRA, hiki ni kiini macho tuu lakini hamna lolote hapa, watu wanaenda kupigwa very soon.
 
Ukiona unaitwa kwenye fursa na unaambiwa kabisa kuwa ili unufaike vzr unatakiwa kushirikisha na wengine basi ujue wewe ndio chambo. Mshkaji wangu mmoja kaja juzi kunihubiria hii kitu na kunisajili nikamsikilizaaaaaaa, then nikazama kwanza mtandaoni ndo nakutana hii habari kwa mara ya pili jf.
Hakuna biashara kichaa duniani hapa, eti unarate bidhaa? Waulize sasa ni bidhaa gani hizo, wanaanza kujikanyaga tuu.
 
Kuna mtu alinitumia hii kitu majuzi. Kumbe...

Hii ni company inajihusisha na ecommerce .. yaan kufanya kazi mitandaoni na kulipwa malipo yko...
Kazi hii iko hvi:-

Unajiunga kwa kupitia link ambayo nitakutumia mm... Then ukishajisajili unwekeza kiwango cha fedha. (Mwanzo ni kuanzia 20000 na kuendelea) hii iko level mbili mpka ss.. inaitwa vip 1 na vip 2.

Ukishawekeza hyo hela ss ww kazi unayotakiwa kufanya ni kuingia (login) ktk hyo tovuti yao.. na kuanza kuzipa bidhaa 20 nyota 5 na kuipa sifa hyo bidhaa (Kampuni hii inashirikiana na shoppingonline 4)

Na kulipwa inalingana na kieango chako cha uwekezaji.. km utaekeza 50000 bas kila ukiingia na kufanya hyo kazi utaipwa 2000 na kila pesa unapozidi na malipo pia huongezeka.

Chengine ni pale unapomuunga mtu kupitia link yako bas utalipwa percent kadhaa kila anapofanya hyo kazi yake. Na utakapoingiza watu watano tu bas wanakupa fursa ya kuingia vip2 ambayo nayo ni kuanza kuekeza kuanzia laki 2 mpka million. Na ukitimiza hapo wanakupa laki 5 ya kufungua ofisi yako nchini tz ili uwe km ni wakala wa kylinda.

Ukiwa na suali lolote usisite kuniulizaaa.
ShukranView attachment 2359862
Ikoje
 
Tunakumbushana tuu, hawa wajinga wamejipanga kama Qnet, mabango mpaka city centre, ila lazima watu watalizwa.
 
Kuna mtu alinitumia hii kitu majuzi. Kumbe..................

Hii ni company inajihusisha na ecommerce .. yaan kufanya kazi mitandaoni na kulipwa malipo yko...
Kazi hii iko hvi:-
Unajiunga kwa kupitia link ambayo nitakutumia mm... Then ukishajisajili unwekeza kiwango cha fedha... (Mwanzo ni kuanzia 20000 na kuendelea.. ) hii iko level mbili mpka ss.. inaitwa vip 1 na vip 2...
Ukishawekeza hyo hela ss ww kazi unayotakiwa kufanya ni kuingia (login) ktk hyo tovuti yao.. na kuanza kuzipa bidhaa 20 nyota 5 na kuipa sifa hyo bidhaa... ( Kampuni hii inashirikiana na shoppingonline 4)
Na kulipwa inalingana na kieango chako cha uwekezaji.. km utaekeza 50000 bas kila ukiingia na kufanya hyo kazi utaipwa 2000 na kila pesa unapozidi na malipo pia huongezeka...
Chengine ni pale unapomuunga mtu kupitia link yako bas utalipwa percent kadhaa kila anapofanya hyo kazi yake... Na utakapoingiza watu watano tu bas wanakupa fursa ya kuingia vip2 ambayo nayo ni kuanza kuekeza kuanzia laki 2 mpka million... Na ukitimiza hapo wanakupa laki 5 ya kufungua ofisi yako nchini tz ili uwe km ni wakala wa kylinda...

Ukiwa na suali lolote usisite kuniulizaaa..
ShukranView attachment 2359862
Mwandishi mwenyewe tu anakwambia ukiwa na suali lolote....[emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23]

Acheni kutapeli watu nyie watu eti una rate bidhaaa, haya tuambie hizo bidhaa mnazorate ni zipi haswa?
 
Huo ndo ukweli wenyewe. Online scam ni nyingi Sana na watu hawakomi.

Aisee watu wanalizwa Sana. Scam nyingi zimewkeza kwenye kutamanisha watu easy and fast [emoji383]

Hapo ndo mtego wengi wanaingia kichwa kichwa na kupigwa vibaya Sana. Wanafilisika.

Hizi scam ziko sambamba na betting.
Betting sio scam, chunga kauli yako kijana.
 
Mi naonaga ukitaka kuwin ktk hizi mambo uwe wa mwanzo mwanzo upige mishindo yako ukae pembeni, watu wakianza kupigwa we ushakula mishindo yako!
 
bro yani wangu wote wanafanya hii ki2 apa na mm wana nishauri lakn mm the sound of it nikaisi2 ni pyramid scm bro achen2
 
Attachments

  • Screenshot_20221004-182359_WhatsApp.jpg
    Screenshot_20221004-182359_WhatsApp.jpg
    180.6 KB · Views: 11
Hizi mambo utabidi uwe na elimu kwa vile bado tuko hai .utakuja kukumbuka maneno yangu kama kama tukiwa hai maana sidhani Kama mwakani muda kama huu utafiki kweli hawa vijana bila ya kulia yaani watapigwa .

Ukicheza na saikolojia ya dunia na uzao utakuja tambua kwamba wajinga wanazaliwa kila na hata vyuoni wanafika so unaweza kuwatumia wajinga wapya daily hapo wale waliopigwa mwaka Jana na ideadibator sijui ambao ilikufa miezi wa mwanzoni mwaka huu hawawezi kutia mguu na hao wa smarthela.

Cheti kupata brela ni rahisi na pia kinaweza kutenezwa na adobe Photoshop michezo watu washafanya sana kumbuka makampuni ya nje kama inclusive forex, world way capital, Infonix, wozur yaani ni kibao wakae mkao wa kula.
Mie maupuuzi km haya si entertain
 
mwandishi mwenyewe tu anakwambia ukiwa na suali lolote....[emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23]

achenj kutapeli watu nyie watu eti una rate bidhaaa, haya tuambie hizo bidhaa mnazorate ni zipi haswa?
Nimeweka bandiko km nilivotumiwa tu. Mie Sio mambo yangu hayo ht kusoma sijalisoma naona mauzauza tu
 
Back
Top Bottom