DOKEZO Scam Alert: Kalynda E-Commerce Investment ni Qnet Inayochipukia, ITV watumika

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Hata Qnet walikuwa na documents za Brela na TRA, hiki ni kiini macho tuu lakini hamna lolote hapa, watu wanaenda kupigwa very soon.
 
Hakuna biashara kichaa duniani hapa, eti unarate bidhaa? Waulize sasa ni bidhaa gani hizo, wanaanza kujikanyaga tuu.
 
Ikoje
 
Tunakumbushana tuu, hawa wajinga wamejipanga kama Qnet, mabango mpaka city centre, ila lazima watu watalizwa.
Your browser is not able to display this video.
 
Mwandishi mwenyewe tu anakwambia ukiwa na suali lolote....[emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23]

Acheni kutapeli watu nyie watu eti una rate bidhaaa, haya tuambie hizo bidhaa mnazorate ni zipi haswa?
 
Betting sio scam, chunga kauli yako kijana.
 
Mi naonaga ukitaka kuwin ktk hizi mambo uwe wa mwanzo mwanzo upige mishindo yako ukae pembeni, watu wakianza kupigwa we ushakula mishindo yako!
 
bro yani wangu wote wanafanya hii ki2 apa na mm wana nishauri lakn mm the sound of it nikaisi2 ni pyramid scm bro achen2
 

Attachments

  • Screenshot_20221004-182359_WhatsApp.jpg
    180.6 KB · Views: 11
Kombolela....naanza kesho kabla ya November najitoa
 
Mie maupuuzi km haya si entertain
 
mwandishi mwenyewe tu anakwambia ukiwa na suali lolote....[emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23]


achenj kutapeli watu nyie watu eti una rate bidhaaa, haya tuambie hizo bidhaa mnazorate ni zipi haswa?
Nimeweka bandiko km nilivotumiwa tu. Mie Sio mambo yangu hayo ht kusoma sijalisoma naona mauzauza tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…