Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio nilikuwa nashangaa wanavyojidai eti wao watamaliza biashara ya vochaEti mauzo ya vocha...!!! Watu siku hizi walishaacha kununua vocha wanarecharge kutumia m pesa, airtel money, tigo pesa n.k.
Acha tu mkuu wapigwe ... Na idadi kubwa wanao lia kwa sasa ni wafanyakazi wale wa serikalini na makampuni binafsi na wale wa mashirika ya umma... Wapigwe tu tena sana maaan walizidi ukaliYaan watz mtapigwa hamtaamini note my words leo tarehe 03/03/2016. Kilio kitakuwa Zaidi ya DECI. Mkurugenzi mwenyewe mkenya, Hao ndio mafundi wa kupiga.
kwa maelezo zaidi ya rifaro nicheki 0783177493Kuna taarifa yao nimeona imesambaa mtandaoni kuwa wanashughuikia wanasheria wao tatzizo kwan hawajafungiwa ila ni code namba wanayotumia tuu imeleta utata