Scandal ya Hamisa Mobetto na Diamond yadaiwa kuwa ni kiki ya wimbo mpya utakaotoka kesho

Scandal ya Hamisa Mobetto na Diamond yadaiwa kuwa ni kiki ya wimbo mpya utakaotoka kesho

Status
Not open for further replies.

mtotomtamuu

JF-Expert Member
Joined
Dec 4, 2016
Posts
602
Reaction score
1,459
Wakuu hii ishu msipoteze mda wenu 100% kuifuatilia, Diamond platnumz ni mchezo mwingine kauandaa kwa ajili ya kuachia nyimbo mpya ndani ya kipindi cha Leo tena cha cloudsfm na cloudstv

Hii interview inapewa promo na na familia nzima ya Platnumz na mameneja wake tokea jana... je hamjashtuka tu kama huyu mtu anacheza na akili zenu?

Just wait..........mda utaongea leo hii
 
Last edited:
Wabongo akili zetu tunazijua wenyewe yaan kiki tangu mimba iingie had mtoto useme ni kiki acha kutupotosha
Ni mazoea ya kutumia maneno bila kutafakari /kujua maana yake tu au ukilaza uliotukuka !yaani mtu ili nyimbo ipokelewe aende akagegede changu msafi/ mstaarab ,ampe mimba azae ndio ali release wimbo basedon facts zake za ovyo ovyo za mgegedo?
 
Diamond, Zari na Hamisa wanacheza na akili za watanzania kama ambavyo wamekua wakifanya kila mara. Na masikini sisi watanzania always tunanasa kwenye mtego wao. Nimejaribu kuangalia katika nyuzi 20 zilizoko page ya kwanza Celebrities forum, nyuzi 14 zinazungumzia ishu ya hamisa na diamond. Likewise ukiingia insta habari kuu ni hiyo. Kwakweli hii mbinu yao inaelekea kufanikiwa tena..
 
Habari za uhakika toka wcb ni kwamba msanii diamond leo anatarajiwa kuzindua album yake ya kwanza kabisa tangu aanze mziki.. Inasemekana kuwa diamond atafanya uzinduzi huo kupitia mahojiano maalum kuhusu album iyo exclusivel kupitia kipindi kinachorushwa na redio maarufu jijini dar mida ya asubuhi hadi mchana... Kipindi kitakuwa maalum tuu kwa album iyo na si vinginevyo.
 
Mi nimewaambia watu wasichezewe akili hawasikii hhhh mda utaongea
 
heeh alikuwa anasubiri hadi azaliwe dogo dully nini?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom