mtotomtamuu
JF-Expert Member
- Dec 4, 2016
- 602
- 1,459
Wakuu hii ishu msipoteze mda wenu 100% kuifuatilia, Diamond platnumz ni mchezo mwingine kauandaa kwa ajili ya kuachia nyimbo mpya ndani ya kipindi cha Leo tena cha cloudsfm na cloudstv
Hii interview inapewa promo na na familia nzima ya Platnumz na mameneja wake tokea jana... je hamjashtuka tu kama huyu mtu anacheza na akili zenu?
Just wait..........mda utaongea leo hii
Hii interview inapewa promo na na familia nzima ya Platnumz na mameneja wake tokea jana... je hamjashtuka tu kama huyu mtu anacheza na akili zenu?
Just wait..........mda utaongea leo hii
Last edited: