mtotomtamuu
JF-Expert Member
- Dec 4, 2016
- 602
- 1,459
swali zuri ajibu Huyo... 9 months... na kuna nyimbo zmetolewa kpnd hchoHiyo kiki iliandaliwa kwa muda gani?
Tangu mimba imetungwa hadi mtoto kazaliwa??
Hii kiki noma
[emoji15] [emoji15] [emoji87] [emoji87] kweli?Hamisa kashusha video nyingine wamepakatana na mondi
Ni mazoea ya kutumia maneno bila kutafakari /kujua maana yake tu au ukilaza uliotukuka !yaani mtu ili nyimbo ipokelewe aende akagegede changu msafi/ mstaarab ,ampe mimba azae ndio ali release wimbo basedon facts zake za ovyo ovyo za mgegedo?Wabongo akili zetu tunazijua wenyewe yaan kiki tangu mimba iingie had mtoto useme ni kiki acha kutupotosha