Scania buses na Cummins buses ( Zhoungtong climber, yutong ect)

Katika lugha rahisi sana. Torque ni nini?
 
Umesomeka Mkuu
 
Katika lugha rahisi sana. Torque ni nini?
Katika lugha rahisi saana, torque ni nguvu ya kuvuta kwa gari linalovutia mbele au nguvu ya kusukuma kwa RWD. Mara nyingi utasikia watu wakisema gari lina "pulling" kubwa. Au linachanganya haraka.

HP kubwa inafanya gari liweze kuwa na top speed kubwa. Torque kubwa inasaidia gari kufikia hiyo top speed haraka.
 
Kaka Sauli hiyo mashine acha kama ilivyo...kwa Sumbawanga Majinja Balaa hasa ile Volvo ile gari inatembea hatari
 
Kwenye vilima Ndo kabisa kiongozi,kama ingekosa Hivi ving'amuzi na mitochi hizo New force angeiona sauli na majinja kwenye tochi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…