Scania buses na Cummins buses ( Zhoungtong climber, yutong ect)

Scania buses na Cummins buses ( Zhoungtong climber, yutong ect)

Scania 95 gemilang milion 600
Kiufupi hii mada yako imesifia zaidi scania kuliko hayo mamichina unayotetea mkuu.
Scania ni next level bei zao tu ndio zinanyima watu wa opt huko.
679c6be82108623a31ad59d4787c6c1a.jpeg
 
Hapo hp wala isikuumize kichwa. Unachotakiwa kujua kwenye haya magari makubwa ni kitu wanaita torque. Unaweza kuta engine ya Scania ina hp chache lakini ina torque kubwa kuliko Cummins. So in principle, japo Cummins ina 360hp, Scania ya 310hp itakuwa na uwezo mkubwa hasa kwenye miinuko kuliko Cummins.

Nimecheki specs za hizo engines, wanasema:-
Scania 310hp 1550Nm za torque
Cummins 360hp 1085Nm za torque.

So hapo Scania lazima tu atoboe kwenye miinuko au wakiwa na mzigo. Ila kwenye plains, cummins anaweza kunyooka zaidi.
Katika lugha rahisi sana. Torque ni nini?
 
Umesomeka Mkuu
Torgue (mechanics) is force that tends to cause rotation, .ni nguvu inayopelekea kusababisha mzunguko, kwa hiyo kwa scania ina nguvu kubwa mlimani, inaweza kukupita kama umesimama, that means inapokuwa kwenye low gear torgue yake ina nguvu kubwa kuliko zingine.
 
Katika lugha rahisi sana. Torque ni nini?
Katika lugha rahisi saana, torque ni nguvu ya kuvuta kwa gari linalovutia mbele au nguvu ya kusukuma kwa RWD. Mara nyingi utasikia watu wakisema gari lina "pulling" kubwa. Au linachanganya haraka.

HP kubwa inafanya gari liweze kuwa na top speed kubwa. Torque kubwa inasaidia gari kufikia hiyo top speed haraka.
 
Kaka Sauli hiyo mashine acha kama ilivyo...kwa Sumbawanga Majinja Balaa hasa ile Volvo ile gari inatembea hatari
Dhumuni la hii mada ni baadhi ya upotoshaji au chumvi zinazowekwa na wanazi wa haya mabus kila mtu akivutia upande wake!

Ni ukweli usiopingika kwa ishu ya durability scania yupo vizur zaidi

Ila kuna baadhi ya vitu nahisi ni upotoshaji wa watu mfano Climber yenye top speed 140 km/hrs na scania yenye top speed 120km/hrs obviously Climber atakua mbele , number doesn't lies

Ingawa katika kesi ya kuchanganya kwa engine by means of rpm scania atawahi ku attain maximum speed compaired na Dongfeng Cummins

360 hP Cummins vs 310hP scania apa pia ni pa kupaangalia ingawa configuration of power and weight of body ina matter lakini kwa still scania anaonekana kuwa Bora zaidi ila bado numbers aziongopi!

Pia uwezo wa dereva unachangia kwa gari koonekana Bora ukitaka kudhibitisha Angalia Newforce golden deer za tunduma zinavo zipa shida scania ( majinja Kilimanjaro Express ect)

Au ilivo kwa alseid ya mbeya Na Saul ya mbeya !

Nawasilisha

Lete fact zingine ambazo unahisi ni za kweli ila watu wanapotosha kwa mapenzi Yao binafsi
 
Kwenye vilima Ndo kabisa kiongozi,kama ingekosa Hivi ving'amuzi na mitochi hizo New force angeiona sauli na majinja kwenye tochi

Back
Top Bottom