Scania buses na Cummins buses ( Zhoungtong climber, yutong ect)

Napanda ile sauti inayotoka kwenye scania hasa ikiwa mlimani
Ni kama Mimi kipindi nipo Dar nilikuwa napenda kusikiliza milio ya coaster za mbagala nimesahau majina yake ila zilikuwa na milio tofauti na coaster zinazopiga route nyingine. Zilipokuwa zinanipita nilikuwa nasimama kabisa kusikiliza milio yake.[emoji3][emoji1]
 
Hili jiko 113 si mchezo gia nane za kibabe haswa
Scania ndugu zake ni Man diesel,Benz Actros ninashangaa kumfananisha na vitu vya ajabu ajabu kila kukicha...kuna jamaa jirani yetu wana 113 toka utawala wa Mwalimu Nyerere mpaka kesho wanayo na inaenda DRC...
 
Hili jiko 113 si mchezo gia nane za kibabe haswa
Mkuu mimi naamini sana katika matoleo ya karibuni kama P series na R series lakini hiyo ngoma toka tupo shule ya msingi mpaka tuna familia wanabadili body tuu mara livute tela la mafuta mara contena wakiamua wanaweka kichanja lenyewe lipo tuu harafu mtu anakuja kufananisha na vitu vyake ...
 
Torque vs Horsepower hili somo watu wengi sana linawapa tabu.
 
Zile Lori ambazo zikipanda mlima znatoa sauti kama znasikilizia utam ni zipi?.....utaskia....mbuuuuuuuuuuny ooouuuuuh......mbuuuuuuuuuny oouuuh!!!!...×10 mpka mlima uishe
Nazikubali sana izo
Scania 113 hizo, zilikuwa ngumu sana kufa
 
Kuna Jm express ana yutong anapiga musoma-dsm,,

Huyo mnyama namshuhudia akiingia buzuruga tano usiku akitokea dsm.

JM, Allys, na Frester huwa zinawahi kutoka mapema pale Ubungo kwa hiyo ni kawaida kufika mapema
 
Mpaka leo ulaya bado yapo ingawa si kivileeeee....
113 imeifunika mbaya toleo pendwa 124
 
Hafu ujue njia ya Dar-Mwanza haina milima kama Mbeya, Songea nk Mabasi ya mchina lwzima yadumu
Kuna Jm express ana yutong anapiga musoma-dsm,,

Huyo mnyama namshuhudia akiingia buzuruga tano usiku akitokea dsm.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…