Scania buses na Cummins buses ( Zhoungtong climber, yutong ect)

Scania buses na Cummins buses ( Zhoungtong climber, yutong ect)

Huu Moto hatari
Screenshot_20190813-064535.jpeg
 
Napanda ile sauti inayotoka kwenye scania hasa ikiwa mlimani
Ni kama Mimi kipindi nipo Dar nilikuwa napenda kusikiliza milio ya coaster za mbagala nimesahau majina yake ila zilikuwa na milio tofauti na coaster zinazopiga route nyingine. Zilipokuwa zinanipita nilikuwa nasimama kabisa kusikiliza milio yake.[emoji3][emoji1]
 
Hili jiko 113 si mchezo gia nane za kibabe haswa
Scania ndugu zake ni Man diesel,Benz Actros ninashangaa kumfananisha na vitu vya ajabu ajabu kila kukicha...kuna jamaa jirani yetu wana 113 toka utawala wa Mwalimu Nyerere mpaka kesho wanayo na inaenda DRC...
 
Hili jiko 113 si mchezo gia nane za kibabe haswa
Mkuu mimi naamini sana katika matoleo ya karibuni kama P series na R series lakini hiyo ngoma toka tupo shule ya msingi mpaka tuna familia wanabadili body tuu mara livute tela la mafuta mara contena wakiamua wanaweka kichanja lenyewe lipo tuu harafu mtu anakuja kufananisha na vitu vyake ...
 
Hapo hp wala isikuumize kichwa. Unachotakiwa kujua kwenye haya magari makubwa ni kitu wanaita torque. Unaweza kuta engine ya Scania ina hp chache lakini ina torque kubwa kuliko Cummins. So in principle, japo Cummins ina 360hp, Scania ya 310hp itakuwa na uwezo mkubwa hasa kwenye miinuko kuliko Cummins.

Nimecheki specs za hizo engines, wanasema:-
Scania 310hp 1550Nm za torque
Cummins 360hp 1085Nm za torque.

So hapo Scania lazima tu atoboe kwenye miinuko au wakiwa na mzigo. Ila kwenye plains, cummins anaweza kunyooka zaidi.
Torque vs Horsepower hili somo watu wengi sana linawapa tabu.
 
Zile Lori ambazo zikipanda mlima znatoa sauti kama znasikilizia utam ni zipi?.....utaskia....mbuuuuuuuuuuny ooouuuuuh......mbuuuuuuuuuny oouuuh!!!!...×10 mpka mlima uishe
Nazikubali sana izo
Scania 113 hizo, zilikuwa ngumu sana kufa
 
Mpaka leo ulaya bado yapo ingawa si kivileeeee....
113 imeifunika mbaya toleo pendwa 124

Back
Top Bottom