Salunbote Lyevedu
JF-Expert Member
- Jan 5, 2015
- 669
- 478
Ndo yeye anaitwa Mwanyilu ni jamaa wa makambako yuko vizuri ni hatari.. Kipindi cha nyuma alikuwa kwenye Happy nation ya Mbeya iliandikwa Sauti ya Manka... Ule moto ulikuwa balaa.. Kutoka Mbeya Ubt anaingia saa 10 jioniDereva atakua yule jamaa alikua kwenye newforce,tall hivi black
Nisaidie kuwashangaa.. Scania na Yutong daahh dharau sana!Scania ndugu zake ni Man diesel,Benz Actros ninashangaa kumfananisha na vitu vya ajabu ajabu kila kukicha...kuna jamaa jirani yetu wana 113 toka utawala wa Mwalimu Nyerere mpaka kesho wanayo na inaenda DRC...
Usidanganyike na hiyo page insta! Gari hiyo ilisumbua ndo ikaachwa saa zima na kidogo.. Zhongtong na Volvo ni Mbali sana ndugu..Angalia majinja anachofanywa na Golden deerMuwekezaji NF tunduma yeye ndo mmbabe kuleView attachment 1193770
Ni dharau sana aisee yaani zipo Scania ukiziangalia kwa hizi horse hadi moyo unaenda mbiyo...mtu anatoka huko anafanisha na zhongton sijui....Nisaidie kuwashangaa.. Scania na Yutong daahh dharau sana!
Hili lina ukweli asilimia zote.. Nimeendesha Bus flani ni scania 114, hp380 nilikuwa nainuka kitonga na 70kph kama hakuna vicheche mbele! Na mtoa mada kadanganya kuwa kisa speed ya zhongtong ni 140 basi mwendo ni mkubwa kuliko scania yenye 120kph. Aangalie ukiwa na gari ndogo unatembea 160kph lakini itakuja bus scania yenye 120kph inakukata kama umesimama... Nadhani ameangalia tu maandishi kwenye darshbod ila hajawahi kuzijaribu apate uhakika wa anachoandika.. Kingine kasema golden deer zinasumbua sana scania, amesahau kwasasa gari zote zinatembea mwendo sawa ila ushapu wako kwenye vituo au kuweza kulipia tochi za kwenye 50kph zitakufanya njia nzima utembee 84kph wakati mwenzio akifika kwenye 50kph anapunguza, unategemea watafika sambamba?? Saizi kuwahi zaidi ya mwenzio ni ujanja wako tu njiani sio uwezo wa gari. Labda kupanda milima tu ndo scania itawahi zaidi kumaliza
Barabara za Tz, Scania ndo gari za kutumia kutokana na kuwepo Milima mingi, speed bump nyingi na rough road nyingi haswa magharibi mwa nchi.Mkuu kama International ni gari ya kimarekani wao kweli ni bora Zimbabwe yamejaa hayo tuu utadhani wanapewa bure na uliza bei yake na ubora kama unafanana na International...Wasomali tunaonunua nao magari minada ya SA wanawashangaa watanzania kukariri na Scania wakati kuna Actros za kibabe zaidi Scania hapo anasubiri mbali Sana...
Ni dharau sana aisee yaani zipo Scania ukiziangalia kwa hizi horse hadi moyo unaenda mbiyo...mtu anatoka huko anafanisha na zhongton sijui....
Newforce wanapata advantage ya kukaa karibu na mlango wa kutokea inawasaidia, kutoka mapema, mimi huwa nazipima zikitoka Swanga maana pale zinaondoka muda 1, ile Volvo ya Majinja newforce huwa hatii mguu na wanaifahamu, labda haihujumu kwa matraffic ili isimamishwe waichelewesheMkuu una krem tatizo apa sasa ivi nipo DMG 613 naitafuta swax uyo majinja yupo nyuma sna
Ndo yeye anaitwa Mwanyilu ni jamaa wa makambako yuko vizuri ni hatari.. Kipindi cha nyuma alikuwa kwenye Happy nation ya Mbeya iliandikwa Sauti ya Manka... Ule moto ulikuwa balaa.. Kutoka Mbeya Ubt anaingia saa 10 jioni
Kwa Durability Scania inapetaScania asilinganishwe yeye ni Nani??
Tuache kukariri
Kuna machine za actros,, Man wanafanya poa
Ata Cummins Ni mshindani wa scania!!
Afu kingine Dongfeng Cummins 360 hP hii inaendana na 94 310hp scania
Kuna watu hawaitendei haki hii comparison eg :124 scania na Cummins .
Usidanganyike na hiyo page insta! Gari hiyo ilisumbua ndo ikaachwa saa zima na kidogo.. Zhongtong na Volvo ni Mbali sana ndugu..
Newforce wanapata advantage ya kukaa karibu na mlango wa kutokea inawasaidia, kutoka mapema, mimi huwa nazipima zikitoka Swanga maana pale zinaondoka muda 1, ile Volvo ya Majinja newforce huwa hatii mguu na wanaifahamu, labda haihujumu kwa matraffic ili isimamishwe waicheleweshe
Huyo mbishi tu lakini mimi nimemwambia kitu ambacho nimeshuhudia mara nyingi,japo sometime hutokea Majinja akachelewa kufika ila mara chache kingine ukitaka kujua huo ni uongo kwa spidi 80 hakuna gari inayofika tunduma saa 11 kasoro
Unatafita ubishani tu! Unajua speed inasomwa kwenye nini? Pikipiki ukiiangalia imeandikwa speed meter inaenda hadi 120 unadhani hiyo 120 ni sawa na ya gari? Ukikaa kwenye gari iwe speed 120 ule upepo mwenye pikipiki angeweza kuhimili? Usidanganywe na maandishi wewe!! Speed inasomwa kwenye mzunguko wa gearbox so gari kubwa na ndogo hazifanani hilo tambua.. Nimeshaongozana sana na gari ndogo kwenye 50kph wakinifata mimi wanapigwa tochi na mimi nikifata 50 yao kwangu nakuwa 40kph au 44kph.. Ule mzunguko wa gearbox na tairi zikiwa kubwa itafanya mzunguko mmoja wa gari kubwa uwe tofauti na wa gari ndogo coz gearbox yake ndogo hadi tairi mzunguko ni mdogo, so tairi za scania ikienda mara 2 wewe itakubidi izunguke mara 3 ndo tutakuwa sawa maana yake kwenye kipimo cha speed utakuwa juu kuliko mimi mwenye gari kubwa... Ufahamu kuwa mimi nikiwa speed 110 ili unipite utatakiwa uwe zaidi ya 140 na gari yakoSawa mkuu nimedanganya ivi unafikiri wale waliotengeneza gari Ni machizi au?
Kama ni kweli kuna variation kubwa ya speed kiasi icho Nini maana ya tochi?
Basi Kama Ni ivo mabasi yangekuwa na tochi yake na gari ndogo zingekuwa na tochi yake!
Acha kukariri
Nipe TLC nitembee 160 afu lete Basi lako la 120 Kama litanipa !!
Nakupa hela
Kuna kipindi kabla Ilasi hajaondoa gari zake jamaa alikuwa akiendesha Ilasi, yuko vizuri
Kuna sehemu nimekwambia kwasasa hakuna gari inayokimbia zaidi ya nyingine kwenye mabas coz zote ni bus halafu speed ni 85 mwisho so ushapu wako kwenye vituo na kwenye 50kph ndo utawatofautisha sio uwezo wa gariMimi ni mmbishi sikuzidi wew iyo ni Jana nilikua Na Golden deer ya Swax sijui aliingia saa ngap majinja??
Maana alikalishwa!View attachment 1194724
Unatafita ubishani tu! Unajua speed inasomwa kwenye nini? Pikipiki ukiiangalia imeandikwa speed meter inaenda hadi 120 unadhani hiyo 120 ni sawa na ya gari? Ukikaa kwenye gari iwe speed 120 ule upepo mwenye pikipiki angeweza kuhimili? Usidanganywe na maandishi wewe!! Speed inasomwa kwenye mzunguko wa gearbox so gari kubwa na ndogo hazifanani hilo tambua.. Nimeshaongozana sana na gari ndogo kwenye 50kph wakinifata mimi wanapigwa tochi na mimi nikifata 50 yao kwangu nakuwa 40kph au 44kph.. Ule mzunguko wa gearbox na tairi zikiwa kubwa itafanya mzunguko mmoja wa gari kubwa uwe tofauti na wa gari ndogo coz gearbox yake ndogo hadi tairi mzunguko ni mdogo, so tairi za scania ikienda mara 2 wewe itakubidi izunguke mara 3 ndo tutakuwa sawa maana yake kwenye kipimo cha speed utakuwa juu kuliko mimi mwenye gari kubwa... Ufahamu kuwa mimi nikiwa speed 110 ili unipite utatakiwa uwe zaidi ya 140 na gari yako
Ahsante kwakuwa uliona mwenyewe tofauti ilivyo, huyu anakuja na maelezo ya kwenye maandishi bila kujua hiyo speed inasomwa kwenye nini.. Na akikanusha tena nanyamaza ashinde yeyeAsante mkuu uneongea kwa mifano asipoelewa usimueleweshe tena.mimi nimesafiri Sana na prvt car Kuna mda Nina kuwa 100 unashangaa bus linachomoka linakuja kunipita Kama ninesimama.ila kunasiku nilisafiri nikakaa siti ya nyuma kwa dreva ilikuwa abood ya moro ,gari ikifika speed 100 yaan Mimi nilikuwa naona ile speed sio ya kitoto jamaa anapita magari madogo Kama yamesimama..
Unatafita ubishani tu! Unajua speed inasomwa kwenye nini? Pikipiki ukiiangalia imeandikwa speed meter inaenda hadi 120 unadhani hiyo 120 ni sawa na ya gari? Ukikaa kwenye gari iwe speed 120 ule upepo mwenye pikipiki angeweza kuhimili? Usidanganywe na maandishi wewe!! Speed inasomwa kwenye mzunguko wa gearbox so gari kubwa na ndogo hazifanani hilo tambua.. Nimeshaongozana sana na gari ndogo kwenye 50kph wakinifata mimi wanapigwa tochi na mimi nikifata 50 yao kwangu nakuwa 40kph au 44kph.. Ule mzunguko wa gearbox na tairi zikiwa kubwa itafanya mzunguko mmoja wa gari kubwa uwe tofauti na wa gari ndogo coz gearbox yake ndogo hadi tairi mzunguko ni mdogo, so tairi za scania ikienda mara 2 wewe itakubidi izunguke mara 3 ndo tutakuwa sawa maana yake kwenye kipimo cha speed utakuwa juu kuliko mimi mwenye gari kubwa... Ufahamu kuwa mimi nikiwa speed 110 ili unipite utatakiwa uwe zaidi ya 140 na gari yako
Siikubali hii concept yako.Unatafita ubishani tu! Unajua speed inasomwa kwenye nini? Pikipiki ukiiangalia imeandikwa speed meter inaenda hadi 120 unadhani hiyo 120 ni sawa na ya gari? Ukikaa kwenye gari iwe speed 120 ule upepo mwenye pikipiki angeweza kuhimili? Usidanganywe na maandishi wewe!! Speed inasomwa kwenye mzunguko wa gearbox so gari kubwa na ndogo hazifanani hilo tambua.. Nimeshaongozana sana na gari ndogo kwenye 50kph wakinifata mimi wanapigwa tochi na mimi nikifata 50 yao kwangu nakuwa 40kph au 44kph.. Ule mzunguko wa gearbox na tairi zikiwa kubwa itafanya mzunguko mmoja wa gari kubwa uwe tofauti na wa gari ndogo coz gearbox yake ndogo hadi tairi mzunguko ni mdogo, so tairi za scania ikienda mara 2 wewe itakubidi izunguke mara 3 ndo tutakuwa sawa maana yake kwenye kipimo cha speed utakuwa juu kuliko mimi mwenye gari kubwa... Ufahamu kuwa mimi nikiwa speed 110 ili unipite utatakiwa uwe zaidi ya 140 na gari yako