Scholar and political writer Professor Ali Mazrui has Passed Away

Scholar and political writer Professor Ali Mazrui has Passed Away

Rest in Peace Prof. Nimetumia sana maandiko yako katika elimu yangu. Nilijiuliza ni kwa nini watu wenye akili namna hii wanazitumia nchi nyingine na si Tanzania. Nikagundua critical minds huwa hazitakiwi Tanzania kwa kuwa ni challenge kwa watawala.

Umenena Mkuu! Apimzike kwa Amani!
 
critical minds huwa hazitakiwi Tanzania kwa kuwa ni challenge kwa watawala.

Tatizo wasomi wengi hawajui kuwa kiwango cha usomi na uelewa kwa watanzania wengi ni kidogo critical minds hufanya vizuri nchi zile ambazo kiwango cha usomi na uelewa ni kikubwa.

Tanzania inataka educative mind sio critical mind.Inabidi uwachukue viongozi na wananchi uwaelimishe taratibu uendane na uelewa wao hadi wakuelewe.Ni slow leaners na slow to understand inatikiwa uendane nao.Sasa wasomi wengi hasa waliosoma nje wakija Tanzania wanakuja na speed za critical mind zao walizokariri huko wanashangaa wakifika Tanzania wanakimbizwa mkuku kurudishwa walikotoka.Tatizo si watawala wala wananchi wa Tanzania.Tatizo ni hao wasomi wenyewe.Inabidi wajue mazingira ya kutumia hicho walichosoma pia yakoje na Watumie mbinu ipi ili hicho Walichosoma au ambacho watawala hawakusoma au hawakijui wakijue na kukikubali bila kutumia mbinu babe za critism na insults.

Wengi wenye critical mind hawajui kuchukuliana na watawala wala wananchi wasiosoma wanajidai dai tu na hicho wajuacho.
 
Rest in Peace Prof. Nimetumia sana maandiko yako katika elimu yangu. Nilijiuliza ni kwa nini watu wenye akili namna hii wanazitumia nchi nyingine na si Tanzania. Nikagundua critical minds huwa hazitakiwi Tanzania kwa kuwa ni challenge kwa watawala.

when did he became Tanzanian?
 
Renowned Kenyan scholar Ali Alamin
Mazrui passed away Monday morning
in Binghamton, New York in the United
States.
Prof Mazrui passed away at the age of
81 and family members say he was
unwell for a couple of months.
Muslims for Human Rights (Muhuri)
chairperson Mr Khelef Khalifa said the
body of the late Prof Mazrui will be
flown to Kenya for burial.
“His nephew, Alamin Mazrui has
confirmed that the Professor’s wish was
to be buried in Kenya,” he said.
Prof Mazrui was born on February 24,
1933 in Mombasa.
At the time of his death, he was a
professor at Binghamton University in
New York.
President Uhuru Kenyatta sent his
message of condolence to the family of
the late Mazrui whom he described as a
“a towering academician whose
intellectual contributions played a
major role in shaping African
scholarship.”
The President said the late Prof Mazrui
as one of the greatest scholars Kenya
and the continent have ever produced.
“Am deeply saddened by the passing
on of the professor. Indeed, death has
robbed us of one of Kenya’s greatest
scholars,” President Kenyatta said.
President Kenyatta said the late Prof.
Mazrui’s literary works, debates and
relentless cultivation of a global view of
Africa have helped to tell the
continent’s story.
Prof Mazrui is a renowned scholar
worldwide having lectured in five
continents and wrote 30 books. He
once served as Chancellor of Jomo
Kenyatta University of Agriculture and
Technology.
He is survived by a wife and six
children.
 
Renowned Kenyan scholar Ali Alamin
Mazrui passed away Monday morning
in Binghamton, New York in the United
States.
Prof Mazrui passed away at the age of
81 and family members say he was
unwell for a couple of months.
Muslims for Human Rights (Muhuri)
chairperson Mr Khelef Khalifa said the
body of the late Prof Mazrui will be
flown to Kenya for burial.
"His nephew, Alamin Mazrui has
confirmed that the Professor's wish was
to be buried in Kenya," he said.
Prof Mazrui was born on February 24,
1933 in Mombasa.
At the time of his death, he was a
professor at Binghamton University in
New York.
President Uhuru Kenyatta sent his
message of condolence to the family of
the late Mazrui whom he described as a
"a towering academician whose
intellectual contributions played a
major role in shaping African
scholarship."
The President said the late Prof Mazrui
as one of the greatest scholars Kenya
and the continent have ever produced.
"Am deeply saddened by the passing
on of the professor. Indeed, death has
robbed us of one of Kenya's greatest
scholars," President Kenyatta said.
President Kenyatta said the late Prof.
Mazrui's literary works, debates and
relentless cultivation of a global view of
Africa have helped to tell the
continent's story.
Prof Mazrui is a renowned scholar
worldwide having lectured in five
continents and wrote 30 books. He
once served as Chancellor of Jomo
Kenyatta University of Agriculture and
Technology.
He is survived by a wife and six
children.

RIP Prof
 
Uhuru Kenyatta Rais wa Kenya kaandika kwenye ukurasa wake wa Facebook.


I am deeply saddened by the death of Prof. Ali Mazrui . Prof. Mazrui was a towering academician whose intellectual contributions played a major role in shaping African scholarship. He was one of the greatest scholars Kenya and the continent have ever produced. His brilliance raised him to the apex of scholarly distinction and earned him respect and following among his peers globally. His literary works, debates and relentless cultivation of a global view of Africa have helped to tell the continent's story. Prof. Mazrui's legacy and commitment to intellectual advancement will always remain etched in Kenyans' minds, and his name will be remembered alongside other Kenyan and African intellectual icons who contributed immensely in the academic sphere. My thoughts and prayers are with his Family and Friends at this time of great sorrow and grief. I pray that God grants you the strength and courage to bear the tragic loss.
 



Renowned Kenyan scholar Ali Alamin Mazrui passed away Monday morning in Binghamton, New York in the United States.
Prof Mazrui passed away at the age of 81 and family members say he was unwell for a couple of months.
Muslims for Human Rights (Muhuri) chairperson Mr Khelef Khalifa said the body of the late Prof Mazrui will be flown to Kenya for burial.
“His nephew, Alamin Mazrui has confirmed that the Professor’s wish was to be buried in Kenya,” he said.

Prof Mazrui was born on February 24, 1933 in Mombasa.
At the time of his death, he was a professor at Binghamton University in New York.
Prof Mazrui is a renowned scholar worldwide having lectured in five continents and wrote 30 books. He once served as Chancellor of Jomo Kenyatta University of Agriculture and Technology.
He is survived by a wife and six children.

He once served as the first non-president chancellor of Jomo Kenyatta University of Agriculture Technology (JKUAT) under the Kibaki regime.
Upon completing his education at Oxford University, Mazrui joined Makerere University (Kampala, Uganda), where he served as head of the Department of Political Science and Dean of the Faculty of Social Sciences. He served at Makerere University until 1973, when he was forced into exile by Idi Amin.

In 1974, he joined the faculty of the University of Michigan as professor and later was appointed the Director of the Center for Afroamerican and African Studies (1978–1981). In 1989, he was appointed to the faculty of Binghamton University, State University of New York as the Albert Schweitzer Professor in the Humanities and the Director of the Institute of Global Cultural Studies (IGCS).
 
Last edited by a moderator:
Ndio juzi tu nillikua namdiscuss na mzee. Miaka ya 88/89 alikua na documentary nzuri sana imenitoka jina. Ila ilikua inahusu Africa ilivyo dumazwa kimaendeleo sababu ya adopting foreign cultures ambazo zimeleta confusion tu.
He lived a full life.
Inna lilahi wa ina ilahi rajiun.
Triple heritage ndi lilikuwa jina la documentary hiyo na nakukmbuka kuna kipande kuhusu mashamba ya ngano ya Basuto na mikate ya SIHA.
 
Uongozi wa JF unafanya kazi extra time kuhamisha threads zake huyu

Hili ndio tatizo la kuwa na forum ya watoto wasiojua mchango wa huyu profesa

Hivi katika threads zinazotakiwa kuwa STICKY kwenye siasa ni hiii

But then again Mack na mwenyezake Invisible sidhani kama washawahi kusoma hata kitabu kimoja cha huyu professa

THE DUMBING DOWN OF JF ndio hii
 
Uongozi wa JF unafanya kazi extra time kuhamisha threads zake huyu

Hili ndio tatizo la kuwa na forum ya watoto wasiojua mchango wa huyu profesa

Huyo profesa mazrui alikuwa MKENYA sio Mpemba.Hivyo jukwaa linalofaa habari yake kuwemo ni la jukwa la Jamii forums la wakenya.Usilaumu uongozi wa jamii forums wako sahihi.
 
Msomi maarufu wa Kenya Profesa Ali Alamin Mazrui, amekufa leo asubuhi Octoba 13, 2014 jijini New York, Marekani akiwa na umri wa miaka 81.

Mazrui, alikuwa profesa katika Chuo Kikuu cha Binghamton jijini New York.

attachment.php

Enzi za marehemu

Ameandika vitabu 30 ambavyo vimezungumzia masuala ya uongozi na siasa za Afrika na Kimataifa pamoja na masomo ya kiislamu. Je, unamkumbuka vipi msomi huyo?
 

Attachments

  • PRF.jpg
    PRF.jpg
    44.7 KB · Views: 576
R.I.P. I will always remember your laughter and words of wisdom. All seems like it was yesterday!
 
Hapana, hilo si pigo la Kenya tu ni la Afrika au Dunia kwa ujumla.

Lakini tukumbuke, kazi ya Allah haina makosa.

Inna liLlahi wa inna iLlayhi rajiun.
 
Back
Top Bottom