Scholar and political writer Professor Ali Mazrui has Passed Away

Scholar and political writer Professor Ali Mazrui has Passed Away

Msomi maarufu wa Kenya Profesa Ali Alamin Mazrui, amekufa leo asubuhi Octoba 13, 2014 jijini New York, Marekani akiwa na umri wa miaka 81.

Mazrui, alikuwa profesa katika Chuo Kikuu cha Binghamton jijini New York.

attachment.php

Enzi za marehemu

Ameandika vitabu 30 ambavyo vimezungumzia masuala ya uongozi na siasa za Afrika na Kimataifa pamoja na masomo ya kiislamu. Je, unamkumbuka vipi msomi huyo?

Tusahihishe kidogo. Amefariki leo.Mnyama ndio tunasema amekufa. Binadamu tunapenda kusema amefariki.
 
Yesu ni Jibu na Ndiyo lango la Kuingia Mbinguni. Tumrudie yeye sisi wanadamu maana siku moja sote tutatoka hapa Duniani!
 
R.I.P Prof Mazrui. Namkumbuka sana enzi nikiwa Mlimani alikuwa anafika mara kwa mara kwa debates. Wakali wengine waliokuwa wanashiriki ni Prof Mahmood Mamdani, Prof John Saul, Prof Shivji na wengineo. Ama Afrika imempoteza mwanae mahiri
 
R.I.P. Prof. will always remember your encounters with Prof. Walter Rodney when UDSM was a real University; :" Africa is a female continent,it can easily be penetrated".

in today's world, some men can also be penetrated.
 
Africa has lost one of the greatest Pan Africanists this century has ever seen.I will remember him with this famous quotation: " the myth of male superiority and female inferiority is a fact of everyday life. It is part and parcel of African life. This very myth has contributed to the oppression and domination of an african woman by man to the present day. Her all upbringing has been geared towards ensuring that she turns out to be a diligent worker, an obedient and an untiring mistress to the whims of her Lord, the man! This must stop." Ali Mazrui, the life that lived!
 
kuna kauli moja aliwahi kuwambia mwalimu Nyerere akisema'' nyerere is an intellectual cannibal''.......
 
Africa has lost one of the greatest Pan Africanists this century has ever seen.I will remember him with this famous quotation: " the myth of male superiority and female inferiority is a fact of everyday life. It is part and parcel of African life. This very myth has contributed to the oppression and domination of an african woman by man to the present day. Her all upbringing has been geared towards ensuring that she turns out to be a diligent worker, an obedient and an untiring mistress to the whims of her Lord, the man! This must stop." Ali Mazrui, the life that lived!

Oppression, domination, and discrimination of women are basic characteristics of polygamy whether are African, Arabs, or any other society irrespective of their religious ideology or any other factor. Polygamy is unjustifiable by any means and is the main source of women discrimination in societies practicing that behaviour whether is in Somalia, Afghanistan, Pakistan, Northern Nigeria, Kuwait, Saudi Arabia, etc. where women are not even allowed to vote. I humbly differ with the Late Prof. Mazrui in that context.
 
Rest in Peace Prof. Nimetumia sana maandiko yako katika elimu yangu. Nilijiuliza ni kwa nini watu wenye akili namna hii wanazitumia nchi nyingine na si Tanzania. Nikagundua critical minds huwa hazitakiwi Tanzania kwa kuwa ni challenge kwa watawala.
ndio nini hii sasa! vitu havina uhusiano ili mradi tu kukejeli nchi yako. mazrui ni mkenya tena alikua anaienzi tanzania na sera zake. alihamia marekani kutafuta maisha. hapa mbona great critical minds walikuepo wengi tu. sema siku hizi wapo vichwamaji kama kina lissu na mnyika baadhi ya vijana wanadhani ndio great critical thinkers.
 
mazrui1.JPG

The Late Prof. Mazrui



Mzee wa miaka 81 hana sigda? Wakati akina Ritz watoto wa miaka 18 pale Tandamti Kariakoo masigda utafikiri taa la treni! Kweli Marekani kuzuri ndio maana hawa ma-jihadist wetu hawataki kurudi kwenye nchi za mama zao.
 
Last edited by a moderator:
Profesa huyu keshawahi kusema kama muungano wa Tanganyika na Zanzibar si muungano bali ni Zanzibar kumezwa na Tanganyika.

Na ni huyu huyu alisema pia kama huu muungano kama ni mzuri mbona hakuna hata nchi moja nyengine iliyotamani kujiunga.

Allah amlaze pema, Amin.
akili ya mbayuwayu changanya na yako. kwani kila muungano wa nchi mzuri ni lazima nchi zingine kujiunga?
 
Ahaaa kumbe, basi peponi kuzuri sana, kumbe ukifika tu kama wewe masikini, unapewa mambinti bikra 40, na mwenyezi mungu anakupa nguvu ya kutumia mizigo mia kwa siku na stini inabaki kama reserve, mwenyezi mungu atuingize peponi inshallah
 
Mwandishi Maarufu ,Mswahili kutoka Mombasa Prof ALLY MAZURUI Ameaga Dunia alikokukua anaishi huko Marekani.
Katiaka uhai wake alikuwa ni mkosoaji mubwa wa watawala Afrika na siasa uchumi zetu zilizotutia umaskini mkubwa .Pumzika kwa amani ALLY ingawaje na wewe uliishia kukosoa tu na kuishi kuishi ughaibuni hukurudi kujenga Afrika.
 
Pumzika kwa amani Prof Mungu kakupenda zaidi hakika umekufa ila fikra zako zitadumu milele. Amen.
 
R.I.P. Professor. Africa has lost a great academician. You will be greatly missed.
 
Poleni wafiwa, duniani sisi sote ni wapita njia ingawa tunako elekea ni chaguo lako wakati ukiwa hai. Wengine wanaenda kwa Mungu na wengio kwa mungu. Angaliwa wekundu wa herufi kubwa na ndogo na ujipime unakochagua kwenda.

Huu ni ujumbe kwa tulio hai hapa duniani.

Ebo! Umepaa platform ya kuhubiri tayari? Watu wanaomboleza weeeeeee
 
Back
Top Bottom