Ngalikivembu
JF-Expert Member
- Oct 6, 2010
- 1,959
- 876
Msomi maarufu wa Kenya Profesa Ali Alamin Mazrui, amekufa leo asubuhi Octoba 13, 2014 jijini New York, Marekani akiwa na umri wa miaka 81.
Mazrui, alikuwa profesa katika Chuo Kikuu cha Binghamton jijini New York.
![]()
Enzi za marehemu
Ameandika vitabu 30 ambavyo vimezungumzia masuala ya uongozi na siasa za Afrika na Kimataifa pamoja na masomo ya kiislamu. Je, unamkumbuka vipi msomi huyo?
Tusahihishe kidogo. Amefariki leo.Mnyama ndio tunasema amekufa. Binadamu tunapenda kusema amefariki.