Scholarship hii hapa ya bure kabisa

Scholarship hii hapa ya bure kabisa

Meneja Wa Makampuni

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2020
Posts
7,899
Reaction score
10,415
Scholarship5.JPG
 
Mshahara wa nani unao utolea mfano?

Au mshahara wa dhambi ambao ni mauti?
Commonwealth scholarship = unalipwa 4M kwa mwezi unasoma miaka mitatu (4M X 12 miezi X 3 miaka) = 144 M.

Hiyo itakua 26000 USD kwa mwaka (26000 USD ) = 60 M kwa mwaka.

Jaribu kutafuta information
 
Watu wapo kimya[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kama sio wao. Kelele zote kwisha.
Nishakuulizaga na tena hukunijibu hivi vigezo vya huko nje Ni same ni TZ mm natoka soma computer science degree ila nina diploma ya HR na esabu nilizingu huko 4m4 ndoto yangu inaweza fanikiwa huko njekusoma hio course
 
Commonwealth scholarship = unalipwa 4M kwa mwezi unasoma miaka mitatu (4M X 12 miezi X 3 miaka) = 144 M.

Hiyo itakua 26000 USD kwa mwaka (26000 USD ) = 60 M kwa mwaka.

Jaribu kutafuta information
Hivi unalipwa au unapewa stipend? Je hiyo hela kwa gharama za maisha za huko kwa wenzetu unadhani utaweza ku save kitu?

Acha kulisha watu matango mwitu.
 
Hivi unalipwa au unapewa stipend? Je hiyo hela kwa gharama za maisha za huko kwa wenzetu unadhani utaweza ku save kitu?

Acha kulisha watu matango mwitu.
Gharama za maisha za UK unazijua boss? Tatizo la watanzania kila kitu tunakionaga kigumu. Embu tafuta mwanafunzi anayesoma UK muulize kodi ya chumba sh ngapi na chakula sh ngapi kwa mwezi.
 
Nishakuulizaga na tena hukunijibu hivi vigezo vya huko nje Ni same ni TZ mm natoka soma computer science degree ila nina diploma ya HR na esabu nilizingu huko 4m4 ndoto yangu inaweza fanikiwa huko njekusoma hio course
Kwa scholarship inaweza kuwa ni ngumu, labda kama unajisomesha mwenyewe.
 
Back
Top Bottom