Wadau wote waliomaliza form six wanaotaka kwenda kupiga DEGREE au kwa wakuu wanaotaka Nondoz za Masters,chuo hicho kipo poa sana na kinatoa fedha ya kutosha(Almost utasoma bure)..na kwa sasa wamepata kufahamu na kuiamini A-LEVEL ya Tanzania,baada ya vijana wa Kitanzania kwenda hapo na kufanya mambo ya uhakika...
Tuchangamkie hapo....
kumbuka kufanya SAT I&II,TOEFL or IELTS. Inspiration is a Place | Jacobs University
ingia kwenye hiyo site,soma na uone walivyo.
dah..bro nimecheki kupitia izo blog zao ila naona kichina kaka inshort fomu zao kupitia online sijaziona so utanisaidiaje kijana wako kwani 2nataka 2kapige machuo pande izo