Scholarships at jacobs university bremen-germany.

Scholarships at jacobs university bremen-germany.

Vitendo

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2009
Posts
582
Reaction score
103
Wadau wote waliomaliza form six wanaotaka kwenda kupiga DEGREE au kwa wakuu wanaotaka Nondoz za Masters,chuo hicho kipo poa sana na kinatoa fedha ya kutosha(Almost utasoma bure)..na kwa sasa wamepata kufahamu na kuiamini A-LEVEL ya Tanzania,baada ya vijana wa Kitanzania kwenda hapo na kufanya mambo ya uhakika...
Tuchangamkie hapo....
kumbuka kufanya SAT I&II,TOEFL or IELTS.
Inspiration is a Place | Jacobs University
ingia kwenye hiyo site,soma na uone walivyo.
 
Ingia kwenye hiyo site,kila kitu kimeandikwa kwa uzuri kabisa....
 
Vijana mliomaliza form six changamkieni hii kitu jamaa wanakubali applications hadi mwisho wa mwezi wa 5.
 
Me nasoma pre university zanzibar university namaliza mwezi wa 7 .je nitaweza kuapply vipi?
 
dah..bro nimecheki kupitia izo blog zao ila naona kichina kaka inshort fomu zao kupitia online sijaziona so utanisaidiaje kijana wako kwani 2nataka 2kapige machuo pande izo
 
Back
Top Bottom