Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hawatamki vile. Ni shu - le (kama -le katika pole)Kimatamshi ya kijerumani wanatamka shula.
Si ellar. Neno ni "Hel-ler". Hii picha ni Heller 1 ya Afrika ya Mashariki ya Kijerumani. Zamani ulizipata kwa wingi pale Masoko-Tukuyu. Hii ilikuwa kituoch cha jeshi la "Schutztruppe" (tamka shuts-tru-pe, jeshi lao) na wakati Waingereza walivamia mwaka 1916 Wajerumani walitupa sarafu zao ndogo kwenye ziwa la Masoko ambako watoto walizama chini na kuzi chukua kwa wingi.Kweli ellar
Acha kubisha vitu usivyovijua. Google hata matamshi usikilize. Nimejifunza kijerumani baadhi ya maneno. Kila lugha ina misingi yake kwenye kusoma. Mfano, "r" kijerumani unajua inavyotamkwa?Hawatamki vile. Ni shu - le (kama -le katika pole)
Kimatamshi ya kijerumani wanatamka shula.
Sentensi yako ya kwanza nakubali kabisa.Acha kubisha vitu usivyovijua. Google hata matamshi usikilize. Nimejifunza kijerumani baadhi ya maneno. Kila lugha ina misingi yake kwenye kusoma. Mfano, "r" kijerumani unajua inavyotamkwa?
🙏🏾Si ellar. Neno ni "Hel-ler". Hii picha ni Heller 1 ya Afrika ya Mashariki ya Kijerumani. Zamani ulizipata kwa wingi pale Masoko-Tukuyu. Hii ilikuwa kituoch cha jeshi la "Schutztruppe" (tamka shuts-tru-pe, jeshi lao) na wakati Waingereza walivamia mwaka 1916 Wajerumani walitupa sarafu zao ndogo kwenye ziwa la Masoko ambako watoto walizama chini na kuzi chukua kwa wingi.
View attachment 1134228
soma zaidi: https://sw.wikipedia.org/wiki/Hela
Hapo nakubaliana na wewe. Sema kujifunza German niliishia njiani kutokana na mambo mengi. Ila nimeangalia hata kwenye youtube "learn German with Jenny" nimeona maneno mengi yanayoishia na "e" yanasikika "a".Sentensi yako ya kwanza nakubali kabisa.
Sasa nakupa darsa bure (sitaki pesa). Silabi "-le" kwenye mwisho wa neno ni kile wanachoita "unbetonte Endsilbe". Unakubali,je? Isipikuwa lahaja chache za kusini ni kamwe "la". Kwa "Schule" kamwe, ninavojua.
Ukipenda kusikiliza matamshi, usiende google (kwao hujui kama ni sauti ya mtu au ya kompyuta),
jaribu hii:https://forvo.com/word/schule/
(Wajerumani wanne wanatamka neno "Schule")
Kuhusu "r" kuna tofauti sana kieneo. Watu wa kusini kama Bavaria na hao wa kaskazini sana wana "r ya ulimi mbele", kama Wahispania, au pia kama Wakenya wengi. Matamshi sanifu ni "r ya shingoni" inayofana na "gh" yetu katika "magharibi", "ghorub" (kama herufi a Kiarabu غ). Sehemu za magharibi kuna pia "r" kama Waeire au Marekani.
Ndo unataka kubishana na Mwanamkiwi aliyelowea na kuoa Ujerumani?!Hapo nakubaliana na wewe. Sema kujifunza German niliishia njiani kutokana na mambo mengi. Ila nimeangalia hata kwenye youtube "learn German with Jenny" nimeona maneno mengi yanayoishia na "e" yanasikika "a".
Uvyonijibu hapo kuhusu "r" inatamkwa kama "غ" , nimejidhirisha utakuwa vizuri kwenye lugha. Hata hizo link ulizonitumia imesikika direct "e" hapo?
Hii ndio ilikuja kuwa Tabora School ya leo?!View attachment 1133025
Neno shule limetokana na Schule neno la Kijerumani. Ni sawa na hela limetokana na neno heller
Ilikaa ki-madrasa zaidi.Sina uhakika lakini uwezekano huo ni mkubwa
Umeamua kuoa kabisa. Mademu wa german wana sifa gani moja wapo?Ndo unataka kubishana na Mwanamkiwi aliyelowea na kuoa Ujerumani?!
Hujaleta mfano. Ni zaidi maneno yanaoishia kwa "-er" (kama "Heller") ambako matamshi mara nyingi huelekea kwa "-a". Links nilizotuma zote ni mwisho "-le" kama e nyepesi (pole, si polee).Hapo nakubaliana na wewe. Sema kujifunza German niliishia njiani kutokana na mambo mengi. Ila nimeangalia hata kwenye youtube "learn German with Jenny" nimeona maneno mengi yanayoishia na "e" yanasikika "a".
Uvyonijibu hapo kuhusu "r" inatamkwa kama "غ" , nimejidhirisha utakuwa vizuri kwenye lugha. Hata hizo link ulizonitumia imesikika direct "e" hapo?
Hivi ukilowea sehemu inakuwaje?Ndo unataka kubishana na Mwanamkiwi aliyelowea na kuoa Ujerumani?!
Kabisa lakini sasa hivi afadhali. Maana nakaa Dar.Unakaa unapigwa mvua nyingi za misimu ya mvua huko mpaka unalowa au vipi?
Hongera. What prompted the move?Kabisa lakini sasa hivi afadhali. Maana nakaa Dar.