- Thread starter
- #341
Upo sahihi mkuu.Kiranga huwa anacheza na akili ya mtu kwa kutumia lugha na si kujibu hoja moja kwa moja. Fatilia mijadala yake
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Upo sahihi mkuu.Kiranga huwa anacheza na akili ya mtu kwa kutumia lugha na si kujibu hoja moja kwa moja. Fatilia mijadala yake
Kwa hiyo jua linaizunguka dunia?Mkuu, mfano wako, hauna uhalisia.
Imani ya deities, imekuwapo kabla jamii hazijaanza changamana.
Je, unadhani ni nani aliisambaza imani hiyo kwa jamii zisofahamiana dunia nzima?
Mfano wako wa jua, hauendani na ulichojaribu kulinganisha.Kwa hiyo jua linaizunguka dunia?
Mfano wangu wa jua upo relevant kabisa na kusudio la hoja yako uliyoijenga kuhusu wingi wa watu katika kuamini kitu ukitanabaisha kuwa ni lazima imani hiyo iwe ni ukweli.Mfano wako wa jua, hauendani na ulichojaribu kulinganisha.
Imani ya deities, imekuwepo duniani kote, kabla watu wa asia, hawajajua kuna watu wana-exist africa/ulaya/america.
Je, unaweza nambia ni nani aliisambaza imani hii duniani kote, ktk jamii zisofahamiana wala kuchangamana?
Kuna vitu katika universe yetu havijengwi na atom.Mkuu, unaposema kila kitu unamaanisha universe yetu, ambayo building blocks yake ni atom.
Naona unazunguka tu, bila kujibu nilichouliza.Mfano wangu wa jua upo relevant kabisa na kusudio la hoja yako uliyoijenga kuhusu wingi wa watu katika kuamini kitu ukitanabaisha kuwa ni lazima imani hiyo iwe ni ukweli.
Ndio maana nikakupa mfano wa idadi kubwa ya watu walioamini jua linazunguka dunia, kuwa imani hiyo haikuweza kubadili uongo kuwa ukweli eti kwasababu tu watu wengi wanaamini hivyo.
Ukweli haupimwi kwa idadi kubwa ya watu wanaosapoti au kukubaliana na kitu. Ukweli unapimwa kwa uthibitisho unaoweza kuwa verified.
Hapana, hapa unalazimisha tu.Mkuu, time na space haviundwi na atom bt vina-exist kwenye universe inayoundwa na atom.
Nani ndio nini? Na kwanini iwe muhimu?Naona unazunguka tu, bila kujibu nilichouliza.
Nimeuliza, imani ya deities ilisambazwa na nani, ktk jamii tofauti duniani, wakati ambao jamii hazikufahamiana wala kuchangamana?
Mkuu, time & space kutojengwa na atom haiondoi uhalisia wa universe kujengwa na atom.Kuna vitu katika universe yetu havijengwi na atom.
Time haijengwi na atom, space haijengwi na atom.
Subatomic particles hazijengwi na atom. Kwa sababu zenyewe ndiyo zinajenga atom.
Huelewi wapi?
Usikariri.
Universe ni nini?Mkuu, time & space kutojengwa na atom haiondoi uhalisia wa universe kujengwa na atom.
Kiranga anaundwa na atom, but anaproduce sauti na joto visivyo na atom ambavyo haviondoi uhalisia wa yeye kuundwa na atom.
Unapaswa kujibu, nilichouliza kabla hujauliza.Nani ndio nini? Na kwanini iwe muhimu?
Kwanini swala la kujua "nani msambazaji" liwe muhimu zaidi kuliko kuangalia uhalisia wa jambo husika?
Kwanini iwe ni muhimu sana kumjua ni nani msambazaji wa dhana ya flat earth iliyo spread around the globe kuliko kujua ukweli wa dhana hiyo?
Mtu akisemaa universe inaundwa na atom, mwingine akasema imeundwa na proton, neutron & electron wote wanamaanisha kile kile.Hapana, hapa unalazimisha tu.
Unaleta ubishi wa Simba na Yanga kwenye sayansi.
Atom yenyewe inaundwa na subatomic particles.
Sasa utasemaje ulimwengu unaundwa na atom wakati atom yenyewe inaundwa na subatomic particles na una time na space ambazo haziundwi na atom?
Unajua subatomic particles ni nini?
Subatomic particles nazo zinaundwa na atom?
Jibu kwanza, kama sauti na joto visivyo na atom vinaondoa uhalisia wa wewe kuundwa na atom.Universe ni nini?
Atom inaweza kuwepo bila space?
Hapana.Mtu akisemaa universe inaundwa na atom, mwingine akasema imeundwa na proton, neutron & electron wote wanamaanisha kile kile.
This is a non sequitur fallacy.Jibu kwanza, kama sauti na joto visivyo na atom vinaondoa uhalisia wa wewe kuundwa na atom.
Mkuu, mpaka hapa tukubali kutokubaliana.Hapana.
Hawamaanishi kile kile.
Atom ni atom, proton, neutron na electron ni subatomic particles.
Usilazimishe mambo.
We ndo ulipaswa ujibu kabla ya kuuliza.This is a non sequitur fallacy.
Nimekuuliza unaweza kuwa na atom bila ya kuwa na space?
Hujajibu.
Kukubali kutokubaliana ni oxymoron.Mkuu, mpaka hapa tukubali kutokubaliana.
Unasema ulimwengu umeumbwa na atom.We ndo ulipaswa ujibu kabla ya kuuliza.