Science ina support uwepo wa Mungu

Science ina support uwepo wa Mungu

Salaam wakuu,

Science inasema, kila kitu kimeundwa na atom, bt maandiko yanasema, kila kitu kimeundwa Mungu.

Science inasema atom imeundwa na sehem 3(proton, neuron & electron bt maandiko yanasema Mungu anaundwa na sehem 3(Mungu baba, mwana & roho mtakatifu).

Kwa mtiririko huo, nahitimisha kwa kusema, science inasupport uwepo wa Mungu kwa 100%.
Kwa hiyo unamfananisha Mungu na atom?
 
Quran sio ushahidi ni hadithi za kusadikika na kufikirika tu za kitabuni.

Kwa sababu huyo Allah ana ongelewa kwenye Quran yake tu(kitabuni), Tofauti na hapo hayupo kwingine popote pale.

Sawa tu na Abunuwasi, ana ongelewa kwenye hekaya zake tu(kitabuni),
Tofauti na hapo hayupo kwingine popote pale.

Bado tu huoni hiyo "Quran" yako sio ushahidi?

Unahangaika kufosi fosi tu hadithi zenu uchwara za kwenye Quran eti ndio uthibitisho!!!

Nasubiri uthibitisho wa haya unayo yaandika.
 
Kaka
Kwani wewe ulizaliwaje?

Ulivyo zaliwa wewe na yeye hivyo hivyo.

Maana yeye ni binadamu na wewe ni binadamu.

Na ulivyo tokea wewe na yeye hivyo hivyo ndivyo alitokea.
Kaka tunajadili serious, Ni vyema ungenijibu vizuri unielezee kwa namna unavyoelewa wewe kuhusu chanzo cha binadamu wa kwanza,
 
Kaka

Kaka tunajadili serious, Ni vyema ungenijibu vizuri unielezee kwa namna unavyoelewa wewe kuhusu chanzo cha binadamu wa kwanza,
Kwa nini unadhani lazima kuna binadamu wa kwanza?

Kwa nini Hudhani hakuna binadamu wa kwanza?

Kwa sababu huu ulimwengu kila mtu amezaliwa na kuukuta. Sasa utajuaje kwamba kuna binadamu wa kwanza?

Je huyo binadamu wa kwanza kabla hajawa " binadamu wa kwanza" alikuwa wapi?

Huko alikokuwa kulitoka wapi na kuliumbwa na nani?

Mimi nasema hakuna binadamu wa kwanza, kwa sababu kila binadamu lazima awe amezaliwa kutoka kwa wazazi wake.

Hivyo hivyo to infinity...

Hakuna binadamu wa kwanza kwa watu wote.
 
Nani alikwambia kuwepo kitu mpaka kionekane ?

Bado hujathibitisha ya kuwa Qur'an ni Hadithi sababu Haina sifa ya Hadithi za kutungwa. Ndio maana mwanzo nilikuuliza unajua hii Qur'an ? Jibu sahihi huijui ndio maana unailinganisha na vitu ambavyo havifanani nayo.
Unataka uthibitisho gani?

Huyo Allah wa kwenye Quran hana tofauti na Abunuwasi wa kwenye hekaya.

Kwa sababu Allah na Abunuwasi wote ni fictional characters waliopo vitabuni tu.

Sasa unataka uthibitisho gani?
 
Uyo Hamis77 Anatumia chatgpt , AI iyo inamjibia, na iyo AI imekuwa commanded kujibu Ivo, achana nae..
Mimi mwenyewe nime notice hicho kitu

Kuna uandishi fulani ambao uliucheki tu unagundua upo programmed.

Na ndio maana unakuta kwake kuandika content ndefu chini ya muda mchache imekuwa rahisi.

Sisi tunachotaka ni majibu haijalishi anatumia njia gani, tunajua hizo bots haziwezi kuthibitisha maswala ya Mungu.
 
Unataka uthibitisho gani?

Huyo Allah wa kwenye Quran hana tofauti na Abunuwasi wa kwenye hekaya.

Kwa sababu Allah na Abunuwasi wote ni fictional characters waliopo vitabuni tu.

Sasa unataka uthibitisho gani?
Bado unarudia kosa lile lile, halafu unauliza nataka uthibitisho gani ?

Hivi huwa unasoma unachokiandika ?

Thibitisha ya kuwa Mungu ametungwa. Hujaelewa wapi ? Swali jepesi sana nimekuuliza.

Kutokujibu kwako kunaonyesha ya kuwa unayemkana humjui.

Mfano ukiniuliza habari za Abuu Nawas ( Usahihi wa jina lake unaandikwa hivi nilivyo andika) nakupa marejeo na nakuthibitishia uwepo wake ambao ni uhalisia.

Sasa huenda ni kama kawaida yenu ya kusikia dikia tu mambo na kuyaleta humu paasi na kuyafanyia uchunguzi. Huu ni uhayawani.
 
Bado unarudia kosa lile lile, halafu unauliza nataka uthibitisho gani ?

Hivi huwa unasoma unachokiandika ?

Thibitisha ya kuwa Mungu ametungwa. Hujaelewa wapi ? Swali jepesi sana nimekuuliza.

Kutokujibu kwako kunaonyesha ya kuwa unayemkana humjui.

Mfano ukiniuliza habari za Abuu Nawas ( Usahihi wa jina lake unaandikwa hivi nilivyo andika) nakupa marejeo na nakuthibitishia uwepo wake ambao ni uhalisia.

Sasa huenda ni kama kawaida yenu ya kusikia dikia tu mambo na kuyaleta humu paasi na kuyafanyia uchunguzi. Huu ni uhayawani.
Mungu hayupo.

Ni wewe ndio unahangaika kumwelezea.

Huu ni uthibitisho tosha kwamba hayupo.

Kama huyo Mungu yupo ajitokeze mwenyewe ajiongelee, sio wewe una hangaika kumwelezea hapa.
 
Na hapa ndipo walipo feli hawa watu, wanaona kucheza na maneno ni uhaisia bali ni mchezo tu ambao haugusi hoja.

Sasa jambo dogo la "KITU" nalo analeta ngonjera nyingi. Chohcote ambacho kipo kiwe maada au kimiminika au visivyo kuwa hivyo vyote ni kitu.
Michezo ya Kiranga tumezoea.
 
Kwanza kabisa, mtu anaposema "kila kitu" ana maana gani? Anajuaje hicho anachofikiri "kila kitu" ni kila kitu kweli na hakuna cha zaidi kioicho tofauti na anavyofikiri?

Tumeona hapo juu haiwezekani kila kitu kiwe kimeundwa na atom kwa sababu atom yenyewe inaundwa kwa vitu vinaitwa subatomic particles.
Mkuu, unaposema kila kitu unamaanisha universe yetu, ambayo building blocks yake ni atom.
 
Kwanza kabisa "kitu" si maada. Kwa hiyo swali lako la "kitu" na hili la maada ni maswali mawili tofauti.

Pili, atom yenyewe haiundwi na atom.

Huelewi wapi?

Tatu, hutakiwi kusema kila kitu kinaundwa na atom, kwa sababu hujui kila kitu.

Zaidi, kuna time, kuna space, hivi ni vitu ambavyo haviundwi na atom.
Mkuu, time na space haviundwi na atom bt vina-exist kwenye universe inayoundwa na atom.
 
Umenichekesha sana mkuu, umempiga mkwara mzito wa kutocheza na maneno then ukalala mbele.
Kiranga huwa anacheza na akili ya mtu kwa kutumia lugha na si kujibu hoja moja kwa moja. Fatilia mijadala yake
 
Umezungumza kuhusu sayansi. Je unaamini kuwa jua linaizunguka dunia? (Bila shaka jibu litakuwa hapana)

Sasa vipi nikikuambia karne kadhaa zilizopita majority ya watu duniani waliamini jua linaizunguka dunia, utasemaje?

Je utasema jua ni kweli lilikuwa likizunguka dunia kwasababu lilifuata idadi ya watu wengi walioamini hivyo?

Au jua liliendelea kuwa fixed kwenye axis yake licha ya watu wengi kuamini linazunguka dunia?

Idadi ya watu wengi kuamini kitu hakuwezi kubadilisha uongo kuwa ni ukweli.

Idadi ya watu wengi kuamini kitu fulani haina maana wala haithibitishi kuwa kitu hicho kinacho aminiwa ni cha kweli na ni sahihi.

Siku zote ukweli huwa hautegemeani na idadi ya watu ambao wanakubaliana na kitu.

Ukweli unapimwa kwa uthibitisho uliopatikana.
Mkuu, mfano wako, hauna uhalisia.

Imani ya deities, imekuwapo kabla jamii hazijaanza changamana.

Je, unadhani ni nani aliisambaza imani hiyo kwa jamii zisofahamiana dunia nzima?
 
Back
Top Bottom