Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 20,137
- 26,189
Kwa hiyo unamfananisha Mungu na atom?Salaam wakuu,
Science inasema, kila kitu kimeundwa na atom, bt maandiko yanasema, kila kitu kimeundwa Mungu.
Science inasema atom imeundwa na sehem 3(proton, neuron & electron bt maandiko yanasema Mungu anaundwa na sehem 3(Mungu baba, mwana & roho mtakatifu).
Kwa mtiririko huo, nahitimisha kwa kusema, science inasupport uwepo wa Mungu kwa 100%.