Science ina support uwepo wa Mungu

Sasa wewe uko sure kiasi gani na una uthibitisho upi kwamba Mungu yupo?
Mambo 2; kwanza hapa duniani hakunaga JINA la kitu halafu hicho kitu kiwe HAKIPO, kitu huanza kwanza then wanadamu hutafuta jina la hicho kitu, hiyo sababu yangu ya kwanza, ya pili ni hi, according to science nothing was made with nothing, if there is something existing somewhere, it is a MUST somebody somewhere made it and controls it. Naweza nisimjue huyo aliyeumba jua, naweza pia nisiwe na uthibitisho wa kisayansi lakini lazima kuna somebody alitengeneza and may be ana control pia.
 
Haya mambo yanachanganya sana, ukijumlisha na mambo ya UAP, daah.
Wala hayachanganyi mkuu, atheist ni wagonjwa wa akili, haiwezekani 3\4 ya watu duniani wana-experience ya deities alafu wao pekee wanaopinga deities ndo wajione wapo sahihi, huo ni ugonjwa wa akili.
 
Mambo 2; kwanza hapa duniani hakunaga JINA la kitu halafu hicho kitu kiwe HAKIPO,
Ndio uthibitishe uwepo wa huyo Mungu wako unayesema yupo.
Huyo Mungu wako ali exist vipi from nothing?

If God exists, it is a MUST somebody somewhere made him.

You cannot exclude your God from this logic, then you start forcing that the universe must be made by somebody.
Naweza nisimjue huyo aliyeumba jua, naweza pia nisiwe na uthibitisho wa kisayansi lakini lazima kuna somebody alitengeneza and may be ana control pia.
Kama umeshindwa kumjua Aliyeumba, Uliwezaje kujua yupo?

Au unafosi mawazo yako uchwara uliyo aminishwa na kupumbazwa na dini/ imani yako?
 
Wala hayachanganyi mkuu, atheist ni wagonjwa wa akili,
This kind of fallacy is called ad hominem.

Umeshindwa kujenga hoja kwa hoja, Na umeshindwa kuthibitisha uwepo wa huyo Mungu unayedai yupo. Unaanza ku attack Atheists.

You are not mentally enough to make arguments with logic.

You are just an indoctrinated religious person meandering with your religious doctrines as you were brainwashed.
haiwezekani 3\4 ya watu duniani wana-experience ya deities alafu wao pekee wanaopinga deities ndo wajione wapo sahihi, huo ni ugonjwa wa akili.
3/4 ya watu duniani kuamini kwenye "Deities" Haimaanishi kwamba ndio kuna hao Deities kweli.

Ni imani watu tu, Zisizokuwa na uthibitisho wowote ule.

Mnahangaika sana kumwelezea na kumuongelea huyo Mungu kwa sababu hajawahi kuwepo kujiongelea mwenyewe, kujitetea mwenyewe na kujidhihirisha mwenyewe yeye kama yeye kwamba yupo.

Ni ninyi tu, mnahangaika kutetea fictional character mliyemtunga vichwani mwenu na kumwita Mungu.

Huyo Mungu kama yupo ajitokeze hadharani mwenyewe ajidhihirishe mwenyewe, ajitetee mwenyewe na ajiongelee mwenyewe kama ana huo uwezo.

Sio ninyi mumuhangaikie kumuelezea..!!

Si aje yeye kama yeye kujidhihirisha na kujitetea mwenyewe kama ana huo uwezo!!
 
Utatu Mtakatifu.
 
Sababu hauwezi kujifanya ukawepo kwa dhati yake wenyewe au ukawepo pasi na chochote. Kwa ziada Ulimwengu hauna maarifa, hauna malengo, hauna hekima, si mkamilifu.
Hata huyo Mungu au Allah wako Hawezi akawepo kwa dhati yeye mwenyewe tu, from nowhere.

Ni ninyi mmemtunga vichwani mwenu huyo Mungu/Allah na hata hamuwezi kuthibitisha uwepo wake, yeye kama yeye.

Mnatumia vitu ambavyo tayari vipo kwenye existence vyenyewe kuanza kufosi kwamba ndio viliumbwa na huyo Mungu wenu.

Mkiulizwa huyo Allah kaumbwa na nani? Mnaanza danadana.
 
ISACK NEWTON Aliwahi kusema ''THERE MUST BE A SUPERNATURAL POWER BEYOND THE UNIVERSE ''
Isaac Newton ni binadamu kama wengine, Na yeye anaweza kuwa na imani yake isiyokuwa na uthibitisho wowote ule.

Kwa hivyo Isaac Newton kusema kwamba "There must be a supernatural power beyond the universe" Hakuthibitishi na wala Hakudhihirishi uwepo wa hiyo supernatural power.

Ni imani zake tu zisizo na uthibitisho wowote ule.
 
Hii nayo ni imani.
Atheist hana imani ya aina yeyote ile.

Atheist hatuamini kwenye kuamini.

Tunataka kujua kwa uhakika, ushahidi na uthibitisho.

Sihitaji kuamini, Nahitaji kujua.
Kwa maana rahisi rahisi Atheist ni asiyefikiri kwa undani juu ya ulimwengu na vilivyomo. Kwa ufupi ni Mpumbavu.
Hata "Theist" ni asiyefikiri kwa undani juu ya ulimwengu na vilivyomo. Kwa ufupi nyie "Theists" ni Wapumbavu na wendawazimu.

Mnafosi Mungu msiyemjua na hamjawahi kumuona na wala hamuwezi kuthibitisha uwepo wake ndio aliumba ulimwengu.

Mkiulizwa huyo Mungu kaumbwa na nani? Hamjui.

Mkiulizwa huyo Mungu kabla ya kuumba kitu chochote kile, Alikuwa wapi? Hamjui.

Mkiulizwa huyo Mungu huko alikokuwa kabla ya kuumba chochote, kulitoka wapi na kulifanyikaje? Hamjui.

Mnaanza danadana na kurukaruka na maelezo yenu uchwara.

Nyie " Theists" ndio Wapumbavu nambari moja.
 
Unawapa sifa wasiyo kuwa nayo, hawa sio werevu sababu mtu mwerevu hufikiria kwa usahihi.

Hawa wanafirikiria kitoto na kifalsafa. Hawajawahi kuwa na hoja wala hawatokuja kuwa na hoja.
Ninyi " Waamini Mungu" ndio hamnaga hoja. Na wala hamuwezagi kujenga hoja zaidi ya kuanza kutushambulia Atheists.

Nakuuliza hivi na ujenge hoja sio kuleta hadithi zako uchwara za kwenye Quran zisizo na uthibitisho wowote ule.

Moja, Huyo Mungu kabla ya kuumba kitu chochote kile, Alikuwa wapi?

Mbili, Huko alikokuwa, kulitoka wapi na kuliumbwa na nani?

Eleza na thibitisha. Usianze hadithi za kwenye Quran mara oh! kilipanda kikashuka.
Kwanza ni waoga wa kujibu maswali hakuna mfano.
Ninyi ndio waoga ambao badala ya kujibu maswali kwa hoja, mnaleta hadithi zenu za kwenye Quran na Biblia.

Kwamba eti ndio uthibitisho.

Yani nyie "Theists" Hamna tofauti na mtu anayetumia Comic book kusema ndio uthibitisho wa uwepo wa Harry Potter.
Wanazo dai kuwa ni hoja hazigusi hoja za aliye dhidi yake.

Ukimuuliza akwambie alijuaje ya kuwa Mungu hayupo au akueleze ya kuwa ilikuwaje Ulimwengu ukawepo ? Hawana jibu la hayo maswali, halafu muda huo huo wanakana ya kuwa hskuna Mungu.
Madai ya uwepo wa Mungu yametoka kwenu nyie Theists.

Ninyi waamini Mungu ndio mnapaswa kuthibitisha madai yenu ya kusema kuna Mungu.

Mkishindwa kuthibitisha uwepo wa Mungu mnayedai yupo, Ni kwamba madai yenu ya kusema kuna Mungu, Ni madai ya uongo.

Na huyo Mungu mnayedai yupo, HAYUPO.
 
3/4 ya watu duniani kuamini kwenye "Deities" Haimaanishi kwamba ndio kuna hao Deities kweli.

Ni imani watu tu, Zisizokuwa na uthibitisho wowote ule.
Ikiwa 3/4 ya watu timam duniani wana-experience deities, unadhani waliobaki wapo timamu?

watu hawaamini ktk deities ajil ya kuaminishwa bali ni wana-experience ya deities.
 
Mimi sijaleta habari za "kila kitu kinatokana na atom", sijaweka statement yoyote ya "kila kitu".

Kwa nini unanipa mzigo wa kuelezea kila kitu ni nini wakati sijasema lolote kuhusu kila kitu?
Mkuu tuishie hapa, maana umeishiwa hoja.
 
We umejuaje kama kuna satellite zinazo tupatia mawasiliano ya wireless? Unao uthibitsho wowote? Well apart from Mungu, ni JINA gani ambalo lipo hapa duniani lakini kwenye hilo jina, hicho chenye jina HAKIPO. Nitajie kimoja tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…