Ulimwengu hauwezi kujioperate wenyewe bila Energy, na Energy Inayooperate huu ulimwengu ni hiyo hiyo Natural power au Divine creator...
Lakini hiyohiyo Energy tayari ipo kwenye ulimwengu na vyote vilivyomo ndani yake.
Na pia, Energy cannot be created or destroyed but it can be transformed from one form to another, Ndani ya ulimwengu ambao tayari ulikuwepo, upo na utaendelea kuwepo milele.
Hivyo Energy
Haijaumba ulimwengu, Kwa sababu tayari energy ipo ndani ya ulimwengu na ina operate ndani ya ulimwengu ambao tayari ulikuwepo.
Kuhusu kutambua kwamba kuna aliye create hii universe ni kupitia kazi zake ambazo mtu mtu mwenye uwezo wa kawaida hawezi fanya....
Unathibitisha vipi ni kazi zake?
Kwanza Ulijuaje na una thibitisha vipi kuna aliyefanya creation ya ulimwengu?
Huyo creator wa universe, Kabla ya kufanya creation ya universe, Alikuwa wapi?
Huko alikokuwa kulitoka wapi?
Na kulifanyikaje?
(Maana uumbaji wa kitu chochote kile ulikuwa bado haujafanyika)
Kulingana na uelewa wako, chanzo cha dunia na uhai ni nini?
Dunia na uhani havina chanzo.
Kama kila kitu kilichopo lazima kiwe na chanzo, Hata chanzo cha kila kitu lazima kiwe na chanzo chake kingine.
Na ulazima huu unatakiwa ku apply kwa kila kitu.
Pasiwepo kitu chochote kile kilicho jitokeza chenyewe tu from nowhere pasipo kuwa na chanzo. Maana kitazua maswali ya kiliwezaje ku exist chenyewe tu pasipo chanzo.
Hivyo kutakuwa na vyanzo vingi visivyokuwa na mwisho(Endless) to infinity...
Na kama si lazima kwamba kila kitu kilichopo kina chanzo, Hata Ulimwengu na Binadamu Havina na Havihitaji kuwa na chanzo.