Science ina support uwepo wa Mungu

Science ina support uwepo wa Mungu

Okay kwahiyo mtu wa kwanza aliyeanzisha kizazi chenu Hadi na wewe ukazaliwa alizuka hapa Duniani
Binadamu na dunia havina mwanzo.
Kwani Hadi Sasa hawaendelei kuzuka watu wengine?
Watu wanazaliwa hawazuki.

Hata mtu wa kwanza katika kizazi chetu, Hakuzuka.

Alizaliwa kutoka kwenye kizazi chake.

Watu walikuwepo, wapo na wataendelea kuwepo milele.

Dunia na vyote vilivyomo except man-made things, Vilikuwepo, vipo na vitaendelea kuwepo milele.

Havijaumbwa na yeyote wala kuzuka kutoka popote.
Nini kinachozuia wasiendelee kuzuka watu wengine Ili waendelee kuzaa vilaza kama wewe?
Watu huzaliwa, hawazuki.

Una elewa hilo wewe kichwa maji?
 
Nikikutana na mawazo kama yako [emoji23][emoji23] huwa nawaza nafika mbali sana. Nafikiri kuna vibaraka wa shetani moja kwa moja wanao pinga uwepo wa Mungu na na Malaika wa shetani wanao ishi na sisi kwa sura za kibinadamu.
Daaah!! Am sorry lakini mawazo yangu tu
Kwanza huyo Shetani Hayupo.

Mungu Hayupo.

Vilevile Malaika Hawapo.

Vyote hivi ni dhana za kufikirika tu, Mlizo jitungia vichwani mwenu wala hamuwezi kuthibitisha uwepo wao.
 
Binadamu na dunia havina mwanzo.

Watu wanazaliwa hawazuki.

Hata mtu wa kwanza katika kizazi chetu, Hakuzuka.

Alizaliwa kutoka kwenye kizazi chake.

Watu walikuwepo, wapo na wataendelea kuwepo milele.

Dunia na vyote vilivyomo except man-made things, Vilikuwepo, vipo na vitaendelea kuwepo milele.

Havijaumbwa na yeyote wala kuzuka kutoka popote.

Watu huzaliwa, hawazuki.

Una elewa hilo wewe kichwa maji?
Si unaona unavyojikanyaga maana yake ni kwamba wewe haujui ulipotokea Sasa mtu ambaye hata haujui ilikuwaje Hadi Leo hii upo hapa Duniani

Alafu unataka watu wakubali Maneno yako kuwa hakuna Mungu kweli?

Acha kujizungusha jibu swali
Mtu wa kwanza katika kizazi chenu alitokea wapi?

Imesema binadamu hawazuki ila wanazaliwa ndio hapo nataka kujua huyo mtu kwanza aliyezaa kizazi chenu yeye alitokea wapi?
 
Si unaona unavyojikanyaga maana yake ni kwamba wewe haujui ulipotokea Sasa mtu ambaye hata haujui ilikuwaje Hadi Leo hii upo hapa Duniani
Niko hapa duniani kwa sababu nilizaliwa kutoa kwa wazazi wangu. Baba na Mama yangu.

Nilizaliwa kutoka kwa wazazi wangu.
Alafu unataka watu wakubali Maneno yako kuwa hakuna Mungu kweli?
Wewe si unajua Mungu yupo?

Sasa mbona unashindwa kumthibitisha?

Thibitisha uwepo wa huyo Mungu unayejua yupo.
Acha kujizungusha jibu swali
Mtu wa kwanza katika kizazi chenu alitokea wapi?
Alitoka kwa wazazi wake.
Imesema binadamu hawazuki ila wanazaliwa ndio hapo nataka kujua huyo mtu kwanza aliyezaa kizazi chenu yeye alitokea wapi?
Alitoka kwa wazazi wake.
 
Utajua hujui.
Kutokujua haimaanishi kwamba ndio kuna Mungu.

Maana hata huyo Mungu unayejidai kumjua yupo, wala hujui yupoje. Na wala huwezi kuthibitisha uwepo wake.

Hata wewe hujui, na hujui kwamba hujui. Unatetea tu kusema Mungu yupo, Kwa vile uliaminishwa na kukaririshwa yupo.

Unafuata tu mkumbo mkichwa mkichwa, Mungu yupo! Mungu yupo! Mungu yupo!

ila hata huwezi kuthibitisha uwepo wa huyo Mungu unayedai yupo.

Unajiendea tu, msobemsobe.
 
Pambana na kile unachokiamini.
 
Salaam wakuu,

Science inasema, kila kitu kimeundwa na atom, bt maandiko yanasema, kila kitu kimeundwa Mungu.

Science inasema atom imeundwa na sehem 3(proton, neuron & electron bt maandiko yanasema Mungu anaundwa na sehem 3(Mungu baba, mwana & roho mtakatifu).

Kwa mtiririko huo, nahitimisha kwa kusema, science inasupport uwepo wa Mungu kwa 100%.
Samahani mkuu, unataka kusema Mungu ni atom?
 
Wengine wanaita Mungu, Wengine Chanzo, Binafsi napenda kutumia "Muumba" ...

Binafsi siziamini dini ila naamini kuna supernatural power , hyo power ndiyo inasababisha Mtoto anaundwa mwilini, Miti inakua, Dunia inaelea, Masaa hayapishani usiku na mchana, Jua kuwaka bila kuchoka, Mechanism ya Mvua...

Muumba yupo lakini hakuna anaeweza kujibu maswali yanayomhusu wala hakuna Limitation zozote alizotuwekea kwakua hakuna mtu alikuwepo wakati ana Create...

Kuhusu maombi - ni kitu chochote ambacho unajiambia.. ukiwa unajiambia mara nyingi Mimi ni Tajiri, Nina afya, ninajiamini and other positive things - unapata matokeo hayohayo

Mfano kina 2pac na Biggie walikua wanaimba kwamba wao ni wababe, wanapenda ngono, wanavuta bangi hata vifo vyao vilihusiana na matukio ya mtindo huu huu...

Watu wa dini wanaposali wana manifest things like "Mimi ni Mdhaifu/Sisi ni Wadhaifu ama Pekee yangu siwezi/ pekee yetu hatuwezi" - Yaani aliyekuumba amekupa Akili na Potentials for Growth leo unamwambia huwezi...

Angalia maisha ya watu wanaosali namna hii yako vipi, Mtu ni matokeo ya kile ambacho unafikiri , ukifikiri wewe ni weak utakua weak, Ukifikiri wewe ni Strong utakua strong...

Tuishi kulingana na kanuni nzuri za kiadili zinazopatana na jamii za watu wote, Kanuni ambazo zitatupelekea kupata Mafanikio katika nyanja zote...

The World wasn't build for weak people
 
Niko hapa duniani kwa sababu nilizaliwa kutoa kwa wazazi wangu. Baba na Mama yangu.

Nilizaliwa kutoka kwa wazazi wangu.

Wewe si unajua Mungu yupo?

Sasa mbona unashindwa kumthibitisha?

Thibitisha uwepo wa huyo Mungu unayejua yupo.

Alitoka kwa wazazi wake.

Alitoka kwa wazazi wake.
Nilijua tu kuwa hauna uwezo wa kijibu hili swali

Na siku ukipata akili ya kujibu hili swali ndio utajua kuwa Mungu yupo

Ni Bora tu utafute hao vlaza wenzanko muendelee kudanganyana
 
Wengine wanaita Mungu, Wengine Chanzo, Binafsi napenda kutumia "Muumba" ...

Binafsi siziamini dini ila naamini kuna supernatural power , hyo power ndiyo inasababisha Mtoto anaundwa mwilini, Miti inakua, Dunia inaelea, Masaa hayapishani usiku na mchana, Jua kuwaka bila kuchoka, Mechanism ya Mvua...
Je Universe haiwezi kufanya vitu vyote hivi pasipo huyo muumba?

Je huyo muumba ali exist mwenyewe tu, from nothing?

Hii supernatural power ilitoka wapi?

Kwa nini unadhani na kuamini kuna muumba anae sababisha processes zote hizi?

Kwa nini Hudhani processes zote hizi zina operate zenyewe tu pasipo muumba?

Kama umeweza kuamini hiyo supernatural power ina operate yenyewe tu, Unashindwaje kujua pia ulimwengu na vyote vilivyomo vina operate vyenyewe?

Kama haiwezekani kwa ulimwengu ku operate wenyewe tu, iliwezekana vipi kwa hiyo supernatural power?
Muumba yupo lakini hakuna anaeweza kujibu maswali yanayomhusu wala hakuna Limitation zozote alizotuwekea kwakua hakuna mtu alikuwepo wakati ana Create...
Kama hakuna anayeweza kujibu maswali yanayomhusu Muumba, Uliwezaje kujua yupo?
Kuhusu maombi - ni kitu chochote ambacho unajiambia.. ukiwa unajiambia mara nyingi Mimi ni Tajiri, Nina afya, ninajiamini and other positive things - unapata matokeo hayohayo

Mfano kina 2pac na Biggie walikua wanaimba kwamba wao ni wababe, wanapenda ngono, wanavuta bangi hata vifo vyao vilihusiana na matukio ya mtindo huu huu...

Watu wa dini wanaposali wana manifest things like "Mimi ni Mdhaifu/Sisi ni Wadhaifu ama Pekee yangu siwezi/ pekee yetu hatuwezi" - Yaani aliyekuumba amekupa Akili na Potentials for Growth leo unamwambia huwezi...

Angalia maisha ya watu wanaosali namna hii yako vipi, Mtu ni matokeo ya kile ambacho unafikiri , ukifikiri wewe ni weak utakua weak, Ukifikiri wewe ni Strong utakua strong...

Tuishi kulingana na kanuni nzuri za kiadili zinazopatana na jamii za watu wote, Kanuni ambazo zitatupelekea kupata Mafanikio katika nyanja zote...

The World wasn't build for weak people
 
Nilijua tu kuwa hauna uwezo wa kijibu hili swali
Hata wewe huna uwezo wa kujibu na kuthibitisha uwepo wa huyo Mungu unayesema yupo.
Na siku ukipata akili ya kujibu hili swali ndio utajua kuwa Mungu yupo
Unatumia vitu ambavyo tayari vipo kwenye existence kutaka kufosi uwepo wa huyo Mungu wako mliyemtunga vichwani mwenu!!!

Unatakiwa kumthibitisha huyo Mungu, yeye kama yeye.

Yani unafosi vitu ambavyo tayari vipo kwenye existence vyenyewe kusema kwamba viliumbwa na Mungu!

Wewe ndio huna Akili.
Ni Bora tu utafute hao vlaza wenzanko muendelee kudanganyana
Na wewe tafuta hao wajinga wenzako wa kiimani na kidini muendelee kuaminishana imani zenu uchwara za Mungu mdhaifu na mchovu ambaye hawezi kujidhihirisha mwenyewe na kujitetea mwenyewe kwamba yupo.
 
Je Universe haiwezi kufanya vitu vyote hivi pasipo huyo muumba?

Je huyo muumba ali exist mwenyewe tu, from nothing?

Hii supernatural power ilitoka wapi?

Kwa nini unadhani na kuamini kuna muumba anae sababisha processes zote hizi?

Kwa nini Hudhani processes zote hizi zina operate zenyewe tu pasipo muumba?

Kama umeweza kuamini hiyo supernatural power ina operate yenyewe tu, Unashindwaje kujua pia ulimwengu na vyote vilivyomo vina operate vyenyewe?

Kama haiwezekani kwa ulimwengu ku operate wenyewe tu, iliwezekana vipi kwa hiyo supernatural power?

Kama hakuna anayeweza kujibu maswali yanayomhusu Muumba, Uliwezaje kujua yupo?
Huu ulimwengu uko operated kwa Energy... kataa!!

Kuna process ambayo ilifanyika mpaka hii Energy inayo run Universe ikatokea ...

Kitaalamu kila process ina processor.. kataa!!

Hiyo processor iliyoprocess Energy inafaa kabisa kuitwa Muumba sababu ndio imefanyiza hii Universe tunayoiona....

Wanasayansi ukiwauliza nini chanzo cha Energy - Energy imetokea wapi kabla haija exist? watakwambia "Energy can neither be created no destroyed but it can change in different form" Hakuna jibu hapo ...!!

That's why nimekwambia hakuna anaejua Kilicho process huu ulimwengu ni nini? Ila kipo sababu matokeo yake yapo, Ulimwengu upo, Tunauona...!!

Naomba nitoe ujinga mkuu, labda kwa uelewa wako wewe unajua kilicho Process Energy ambayo inauoperate huu ulimwengu, Nisaidie labda unajua ni nini hicho au ni nani huyo?
 
Ulimwengu hauwezi kujioperate wenyewe bila Energy, na Energy Inayooperate huu ulimwengu ni hiyo hiyo Natural power au Divine creator...
Lakini hiyohiyo Energy tayari ipo kwenye ulimwengu na vyote vilivyomo ndani yake.

Na pia, Energy cannot be created or destroyed but it can be transformed from one form to another, Ndani ya ulimwengu ambao tayari ulikuwepo, upo na utaendelea kuwepo milele.

Hivyo Energy Haijaumba ulimwengu, Kwa sababu tayari energy ipo ndani ya ulimwengu na ina operate ndani ya ulimwengu ambao tayari ulikuwepo.
Kuhusu kutambua kwamba kuna aliye create hii universe ni kupitia kazi zake ambazo mtu mtu mwenye uwezo wa kawaida hawezi fanya....
Unathibitisha vipi ni kazi zake?

Kwanza Ulijuaje na una thibitisha vipi kuna aliyefanya creation ya ulimwengu?

Huyo creator wa universe, Kabla ya kufanya creation ya universe, Alikuwa wapi?

Huko alikokuwa kulitoka wapi?

Na kulifanyikaje?
(Maana uumbaji wa kitu chochote kile ulikuwa bado haujafanyika)
Kulingana na uelewa wako, chanzo cha dunia na uhai ni nini?
Dunia na uhani havina chanzo.

Kama kila kitu kilichopo lazima kiwe na chanzo, Hata chanzo cha kila kitu lazima kiwe na chanzo chake kingine.

Na ulazima huu unatakiwa ku apply kwa kila kitu.

Pasiwepo kitu chochote kile kilicho jitokeza chenyewe tu from nowhere pasipo kuwa na chanzo. Maana kitazua maswali ya kiliwezaje ku exist chenyewe tu pasipo chanzo.

Hivyo kutakuwa na vyanzo vingi visivyokuwa na mwisho(Endless) to infinity...

Na kama si lazima kwamba kila kitu kilichopo kina chanzo, Hata Ulimwengu na Binadamu Havina na Havihitaji kuwa na chanzo.
 
Huu ulimwengu uko operated kwa Energy, Iko process iliyocreate hiyo Energy mpaka ikatokea ...

Sasa akilicho process hii Energy kinafaa kabisa kuitwa Creator ama Muumba sababu ndio cause ya hii Universe tunayoiona....
Kama kila kitu kilichopo lazima kiwe na creator, Hata creator wa kila kitu lazima awe na creator wake mwingine.

Pasiwepo kitu chochote kile kilicho exist chenyewe pasipo creator, Maana kitazua maswali ya kiliwezaje ku exist chenyewe tu pasipo creator.

Na kama si lazima kwamba kila kitu kilichopo kina creator, Hata Dunia haina na haihitaji kuwa na creator.
Wanasayansi ukiwauliza Energy chanzo chake ni nini? hua wanaruka hapa watakwambia "Energy can neither be created no destroyed but it can change in different form"

Naomba nitoe ujinga mkuu, labda kwa uelewa waki Energy ambayo inauoperate huu ulimwengu chanzo chake ni nini ?
Kama kila kitu kilichopo lazima kiwe na chanzo, Hata chanzo cha kila kitu lazima kiwe na chanzo chake kingine.

Pasiwepo kitu chochote kile kilicho exist chenyewe tu pasipo chanzo, Maana kitazua maswali ya kiliwezaje ku exist chenyewe pasipo chanzo.

Hivyo kutakuwa na vyanzo vingi visivyokuwa na mwisho(Endless) to infinity...

Na kama si lazima kwamba kila kitu kilichopo lazima kina chanzo, Hata Ulimwengu hauna chanzo.
 
Back
Top Bottom