Mungu wa waislamu hataki viumbe vyake visikilize music.... Mungu wa wakristo je anasemaje??? Mungu kapewa attributes kibao ambazo zinapingana (hasira, furaha, wivu, upendeleo etc).
Ndio maana nasema hivi nimezaliwa kwenye corrupted world... ambayo imejaa confusion ya mambo kibao, Nikisema niwe follower kwenye upande wowote wa dini upande mwengine wa dini utasema naenda motoni... ina maana kila upande utakaoufuata bado adhabu ya moto ipo kwako according to Mungu wa upande mwengine.
Omba ukamkute Mungu wa upande wako na si wa upande mwengine...
If I believe in creation of our universe kwangu mimi hiki kinanitosha... hayo mengine yote ambayo mmempa creator hayalazimiki kufuatwa...
Sijui nitoe sadaka kanisani (kwa mtazamo wangu huu naona ni utapeli, watu wamejitengeneza ajira hapa). Sijui nikae nifanye maombi ili mvua inyeshe...(hapa hamna kitu, kuna vitu kwenye nature vina uwezo wa kuheal na vipo visivyo na uwezo wa kuheal).
Ukikata majani ukiyafanyia maombi au la bado yataendela kuota, ila ukikata uume wako au ukikata mkono wako hakika hata umuombe Mungu wewe na dunia nzima, hautaoteshwa mkono mwengine wala uume mwengine.