hitler2006
JF-Expert Member
- Sep 1, 2014
- 489
- 454
unahitaji utuambie kuna agenda gani nyuma ya NWO na sio kutwambia arsenal vs man u
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Katika watu wajinga jamii forums ni pamoja na huyu mzee.Preamble:
I thought it important to bring this paper to the attention of the doubting Thomases and sleeping masses.Most people still believe that what we used to call natural disasters are "still natural," not at all,NWO Cabal scientists have now at their disposal
Super Energy weapons for triggering Earthquakes, Volcanoes, other Earth movements,floods,hurricanes,droughts and even out of the ordinary snowfalls.
To me there is no doubt at all that the Turkiye earthquake is man made.
The unusually widespread and extraordinary degree of destruction brought about by these Earthquakes serve as the first major clue proving that this was yet another barbaric act of Zio-Anglo-American geoterrorism.
But why? There are actually many reasons why the Axis of Evil is hellbent on bringing Turkey to its' knees.
• Turkey has refused to permit Sweden (and Finland) into NATO pending the outcome of the “harboring terrorists” issue
• Turkey has been working closely with Russia, Syria and Iran to permanently resolve the Syrian conflict
• Turkey has been collaborating with Russia all along to help negotiate a peace treaty with Ukraine
• Turkey’s territory has become Russia’s Plan B where it concerns natural gas pipelines that were once operative in Ukraine, as well as presenting an alternative to the destroyed Nord Stream pipelines
• Turkey has made major purchases of armaments from Russia including the S-400 air defense system against the strict demands of the United States
• Turkey has been in an intensifying cold war with fellow NATO member Greece which is viewed as highly disruptive to the central mission of the North Atlantic Terrorist Organization
• Turkey has also recently attacked the Syrian Kurds who are considered the U.S. partner in the fake fight against ISIS (Israeli Secret Intelligence Service)
These are just a few of the reasons why the Axis of Evil is quite unhappy with Turkey. There are, in fact, several other motives for this cataclysmic geoterrorist attack which are well beyond the scope of this brief report.But these few reasons should be able to prove that the Zio-Anglo-American Axis of evil is responsible for the Mega Turkiye-Syria earthquake.
Read the scientific paper below to see it all.
Posted on October 1, 2022
SCIENTIFIC RESEARCH PAPER: Super Energy Weapons Triggering Earthquakes, Volcanoes and Other Earth Movements
Super Weapons (Energy Weapons) for
Inducing Earthquakes, Landslides,
Sinkholes, Snow Avalanche, and
Erupting Volcanoes
Sheshpari Paper Direct Energy Weapons Inducing Earthquakes.
Morteza Sheshpari
Faculty of Engineering, Dept. of Geotechnical Engineering , University of
Ottawa, ON, Canada
___
http://themillenniumreport.com/wp-c...rect-Energy-Weapons-Inducing-Earthquakes..pdf
_____
https://www.semanticscholar.org/paper/Super-Weapons-(Energy-Weapons)-for-Inducing-Snow-
Usiseme tu mimi ni mjinga,sema why with facts.Mimi nilicholeta hapa ni pure Science,hakuna hata chembe ya udaku.Katika watu wajinga jamii forums ni pamoja na huyu mzee.
Mkuu natural forces released by earths movement ni forces ambazo hazina mfano, na ni kubwa kuliko unavyoweza kutengeneza vibomu vya Atomic.Sijakuelewa; unamaanisha nini?
Katika hili; naomba ukubali kukiri kuwa huelewi chochote. Yaani kati ya mambo ambayo wewe inabidi ujihesabu kuwa huayaelewi; ni hiliMkuu natural forces released by earths movement ni forces ambazo hazina mfano, na ni kubwa kuliko unavyoweza kutengeneza vibomu vya Atomic.
Mwaka 1883, kulitokea Volcanic erruption kubwa sana kuliko maleezo ktika kisiwa cha Karakatoa, Indonesia.
Nakupa quote ya mlipuko huo ambao hadi leo hauna mfano....!
"What Caused the Eruption?
Like all volcanic eruptions, Krakatoa’s can be traced to the movement of the tectonic plates that make up the Earth’s crust, which are constantly moving against each other over the thick liquid layer, or mantle, beneath.
Indonesia is located at the heart of a so-called subduction zone, where the Indo-Australian Plate collides with part of the Asian Plate (Sumatra) as it moves northward.
As a heavier oceanic plate, the Indo-Australian slides underneath the lighter, thicker continental plate (Sumatra), and the rock and other materials that slide with it heat up as it dives below the Earth’s surface. Molten rock (or magma) from below rushes upward through this channel, forming a volcano.
In 1883, each of the three distinct peaks of Krakatoa served as an exit route for the enormous magma chamber deep below it. Analysis suggests that during an earlier eruption, debris clogged the neck of Perboewatan, and pressure then built up below the blockage.
After the initial explosion split the magma chamber, and the volcano began to collapse, seawater came into contact with the hot lava, creating a cushion of explosively hot steam that carried the lava flows up to 25 miles at speeds of up to 62 mph.
Global Impact of Krakatoa
The 1883 Krakatoa eruption measured a 6 on the Volcanic Explosivity Index (VEI), with a force of 200 megatons of TNT. By comparison, the bomb that destroyed the Japanese city of Hiroshima in 1945 had a force of 20 kilotons, or nearly 10,000 times less power. "
Sasa mkuu hebu jisomee ujue kwamba natural forces caused by the earths tectonic plates movement ni habari nyingine ambayo binadamu hawezi kui induce.
![]()
Krakatoa ‑ Eruption, Causes & Impact
Krakatoa is a small volcanic island in Indonesia, located about 100 miles west of Jakarta. In August 1883, the eruption of the main island of Krakatoa (or Krakatau) killed more than 36,000 people, making it one of the most devastating volcanic eruptions in human history.www.history.com
eos.org
Kasome mkuu,unapokuwa JF usitegemee kutafuniwa kama mtoto,na wewe unapaswa kuelimisha wengine.unahitaji utuambie kuna agenda gani nyuma ya NWO na sio kutwambia arsenal vs man u
Acha uwongo wa kijinga wewe...
Kuongea kwamba sijui siyo jibu, na pengine wewe ndio hujui kuwa hujui.Katika hili; naomba ukubali kukiri kuwa huelewi chochote. Yaani kati ya mambo ambayo wewe inabidi ujihesabu kuwa huayaelewi; ni hili
Tembelea hii website hapa Homepage | CTBTO niliyoitaja hapo juu ili uanze kujifunza na uelewe
Ongezea na taarifa nyingine hii hapa
![]()
Nuclear Bomb or Earthquake? Explosions Reveal the Differences - Eos
A series of controlled chemical detonations in the Nevada desert is helping researchers discern between ground shaking caused by nuclear explosions and earthquakes.eos.org
Huyo na kiranga wakiona vitu vimeandikwa kiingereza tu basi wanaona vya maanaHuyo kashakua mwendawazimu, bila shaka sio wa kumtilia maanani anayoandika hapa.
Kuna vitu vitatu vinavyoweza kusababsha tetemeko la ardhi, ambavyo ni tectonic plate movements, volvcanic erruptions na explosions. Wewe hoja yako hapa ni nini? Kwa hiyo si lazima tetemeko la ardhi liwe tectonic.Kuongea kwamba sijui siyo jibu, na pengine wewe ndio hujui kuwa hujui.
Hujaleta counter argument ya mfano wangu kwa kiwango chochote juu ya forces released na Karakatoa erruptions.
Nyongeza muhimu:Kuongea kwamba sijui siyo jibu, na pengine wewe ndio hujui kuwa hujui.
Hujaleta counter argument ya mfano wangu kwa kiwango chochote juu ya forces released na Karakatoa erruptions.
Yule mwamba ni superhumanTesla ametuacha dillema sana kwenye science kiasi tumeshindwa kutofautisha fiction and reality
vitu vilivyodhahaniwa fiction alivifanya kuwa reality
Hapo ndio naona how narrow your argument is.Kuna vitu vitatu vinavyoweza kusababsha tetemeko la ardhi, ambavyo ni tectonic plate movements, volvcanic erruptions na explosions. Wewe hoja yako hapa ni nini? Kwa hiyo si lazima tetemeko la ardhi liwe tectonic.
Wewe madai yako ya awali yalikuwa ni kwamba hakuna artificial earthqquakes, si ndiyo?Hapo ndio naona how narrow your argument is.
Issue hapa ni the unleashed natural forces ambazo ziko far above and beyind induced man made forces.
Whether its tectonic plates movement, volcanic super erruptions and other secondary natural forces kama tsunami, hurricanes etc.
Suala hapa ni jinsi hizo forces zilivyo far greater and much more destructive kuliko any other forces combined.
Soma tena na tena mchango wangu wa awali , nina matumaini utanielewa.Wewe madai yako ya awali yalikuwa ni kwamba hakuna artificial earthqquakes, si ndiyo?