SCIENTIFIC RESEARCH PAPER: Super Energy Weapons Triggering Earthquakes, Volcanoes and Other Earth Movements

unahitaji utuambie kuna agenda gani nyuma ya NWO na sio kutwambia arsenal vs man u
 
Katika watu wajinga jamii forums ni pamoja na huyu mzee.
 
Katika watu wajinga jamii forums ni pamoja na huyu mzee.
Usiseme tu mimi ni mjinga,sema why with facts.Mimi nilicholeta hapa ni pure Science,hakuna hata chembe ya udaku.

Infact wewe ndiye mjinga,najaribu kukuamsha uujue ukweli hutaki,unaendelea kuuchapa usingizi.Jitafutie elimu,utabaki na ujinga mpaka lini?Mimi kwa upande wangu sitakata tamaa,nitaendelea kufunua siri za NWO a.k.a Shetani,wewe kama unataka kuendelea kudanganyika na kuuchapa usingizi endelea.I will leave no stone unturned.
 
Sijakuelewa; unamaanisha nini?
Mkuu natural forces released by earths movement ni forces ambazo hazina mfano, na ni kubwa kuliko unavyoweza kutengeneza vibomu vya Atomic.
Mwaka 1883, kulitokea Volcanic erruption kubwa sana kuliko maleezo ktika kisiwa cha Karakatoa, Indonesia.
Nakupa quote ya mlipuko huo ambao hadi leo hauna mfano....!

"What Caused the Eruption?​

Like all volcanic eruptions, Krakatoa’s can be traced to the movement of the tectonic plates that make up the Earth’s crust, which are constantly moving against each other over the thick liquid layer, or mantle, beneath.

Indonesia is located at the heart of a so-called subduction zone, where the Indo-Australian Plate collides with part of the Asian Plate (Sumatra) as it moves northward.

As a heavier oceanic plate, the Indo-Australian slides underneath the lighter, thicker continental plate (Sumatra), and the rock and other materials that slide with it heat up as it dives below the Earth’s surface. Molten rock (or magma) from below rushes upward through this channel, forming a volcano.

In 1883, each of the three distinct peaks of Krakatoa served as an exit route for the enormous magma chamber deep below it. Analysis suggests that during an earlier eruption, debris clogged the neck of Perboewatan, and pressure then built up below the blockage.

After the initial explosion split the magma chamber, and the volcano began to collapse, seawater came into contact with the hot lava, creating a cushion of explosively hot steam that carried the lava flows up to 25 miles at speeds of up to 62 mph.

Global Impact of Krakatoa​

The 1883 Krakatoa eruption measured a 6 on the Volcanic Explosivity Index (VEI), with a force of 200 megatons of TNT. By comparison, the bomb that destroyed the Japanese city of Hiroshima in 1945 had a force of 20 kilotons, or nearly 10,000 times less power. "

Sasa mkuu hebu jisomee ujue kwamba natural forces caused by the earths tectonic plates movement ni habari nyingine ambayo binadamu hawezi kui induce.
 
Katika hili; naomba ukubali kukiri kuwa huelewi chochote. Yaani kati ya mambo ambayo wewe inabidi ujihesabu kuwa huayaelewi; ni hili
Tembelea hii website hapa Homepage | CTBTO niliyoitaja hapo juu ili uanze kujifunza na uelewe

Ongezea na taarifa nyingine hii hapa

 
unahitaji utuambie kuna agenda gani nyuma ya NWO na sio kutwambia arsenal vs man u
Kasome mkuu,unapokuwa JF usitegemee kutafuniwa kama mtoto,na wewe unapaswa kuelimisha wengine.

Halafu uwe na adabu,unaniamrisha kama umenichangia MB vile,wakati najitolea tu kukutoa kwenye lindi la ujinga.
 
Kuongea kwamba sijui siyo jibu, na pengine wewe ndio hujui kuwa hujui.
Hujaleta counter argument ya mfano wangu kwa kiwango chochote juu ya forces released na Karakatoa erruptions.
 
Kuongea kwamba sijui siyo jibu, na pengine wewe ndio hujui kuwa hujui.
Hujaleta counter argument ya mfano wangu kwa kiwango chochote juu ya forces released na Karakatoa erruptions.
Kuna vitu vitatu vinavyoweza kusababsha tetemeko la ardhi, ambavyo ni tectonic plate movements, volvcanic erruptions na explosions. Wewe hoja yako hapa ni nini? Kwa hiyo si lazima tetemeko la ardhi liwe tectonic.

Tetemeko linaweza kuwa volcanic yaani lile ambalo halitokani na ku-slide kwa miamba, bali volcanic erruptions; au linaweza kuwa limetokana na explosions. Kitu ambacho uko sahihi hapa ni kwamba ni kweli vyanzo hivi viwili ambavyo ni volcanic erruptions pamoja na explosions huwa havina uwezo mkubwa wa kuifanya miamba itembee, isipokuwa huwa vina uwezekano wa kui-trigger tu miamba ikatembea; assuming ilikuwa iko karibu na epicenter ya explosions au ya erruptions; ila si lazima kwamba tetemeko linalotokana na volcanic erruptions au explosinons huwa linasababisha miamba kutembea hapana
 
Kuongea kwamba sijui siyo jibu, na pengine wewe ndio hujui kuwa hujui.
Hujaleta counter argument ya mfano wangu kwa kiwango chochote juu ya forces released na Karakatoa erruptions.
Nyongeza muhimu:
Kama wewe ni kiongozi mwenye mamlaka mahali fulani kwenye nchi fulani; kwa wakati huu naomba uwe mwangalifu sana inapottokea umeletewa taarifa kuwa kuna tetemeko limetokea huku epicenter ya tetemeko hilo ikiwa iko kwenye maji; yaani source ya tetemeko ni ndani ya maji. Kuwa mwangalifu sana na kitu hiki. Tetemeko lililo wazi zaidi ni lile ambalo source yake ni nchi kavu ambapo hata Serikali ikiamua kwenda kuhakiki, inaweza kuhakikki kwa urahisi tu kwa sababu linakuwa limetokea kwenye sehemu ambayo hata mtu mwenye hekima tu asiyekuwa na utaaalamu wowote, anaweza akaangalia na kiujiridhisha kuwa lile lilikuwa ni tetemeko kweli au hapana!
 
Kuna vitu vitatu vinavyoweza kusababsha tetemeko la ardhi, ambavyo ni tectonic plate movements, volvcanic erruptions na explosions. Wewe hoja yako hapa ni nini? Kwa hiyo si lazima tetemeko la ardhi liwe tectonic.
Hapo ndio naona how narrow your argument is.
Issue hapa ni the unleashed natural forces ambazo ziko far above and beyind induced man made forces.
Whether its tectonic plates movement, volcanic super erruptions and other secondary natural forces kama tsunami, hurricanes etc.
Suala hapa ni jinsi hizo forces zilivyo far greater and much more destructive kuliko any other forces combined.
 
Wewe madai yako ya awali yalikuwa ni kwamba hakuna artificial earthqquakes, si ndiyo?
 
Acheni kuwapa watu uwezo wa Kimungu hakuna Cha new world order Wala old world order hao watu hawana huo uwezo wiki ilopita zaidi ya nchi 50 zilikuwa na mkutano pale Ramstein German kwenye US military airbase wakijadili namna ya kuisaidia Ukraine dhidi ya urusi wangekuwa na hayo madude Si wangepiga summery ili yaishe?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…