Scientists Create Human “Entity” That Has No Mother Or Father

Ni muda sasa wa kuzisaka zaidi ili nifikie gharama zao nimiliki toto langu dadeki na mimi nivimbe...

Nimeona kuna watu wanakosoa, ila hawajitambui, hawajui maana ya kuwa na familia na pia ni wa binafsi kwani hawawazii kwa upande wa wakosa korodani wanahisi vipi?
Mzee wangu hauna Kolo hapo chini?
 
...mkuu ulieleta uzi... Tutafsirie kwa kiswahili ingependeza zaidi... Au mwenye uwezo atusaidie...
Ni kwamba wanasayansi wamefanikiwa kutengeneza kiumbe bila kuhusisha mbegu za mwanadamu yaan wamejua kutengeneza kwa kuunganisha kemikali na uozeshaji hadi ametokea embryo ambayo ndo hatua ya kwanza ya mwanadamu mwezi baada ya mimba .kakiumbe hako kamepimwa kamekutwa kana uwezo wa kutoa homoni kama wa binadamu.
Muandishi analalamika hii ni kinyume na muumba na ilipaswa kuwa kinyume na sheria lakini nchi nyingi zinaruhusu.anasema hii hatari yake ni madictata wataweza jiundia jeshi hata la watu milion 3 na kutesa dunia .aidha hawa watu wanaweza kuja kuwa makatili maana hawana roho na kwa kuwa ni wazi watakuwa na akili kuliko sisi waweza Tusumbua sana .
 
Eti maana hawana roho.....unachekesha....rudia kusoma kaumbwa kutokana na stem cell inayopatikana kwenye bone marrow (ugoko wa binaadamu)
 
Ni kwamba wanasayansi wamefanikiwa kutengeneza kiumbe bila kuhusisha mbegu za mwanadamu yaan wamejua kutengeneza kwa kuunganisha kemikali na uozeshaji hadi ametokea embryo ambayo ndo hatua ya kwanza ya mwanadamu mwezi baada ya mimba .kakiumbe hako kamepimwa kamekutwa kana uwezo wa kutoa homoni kama wa binadamu.
Muandishi analalamika hii ni kinyume na muumba na ilipaswa kuwa kinyume na sheria lakini nchi nyingi zinaruhusu.anasema hii hatari yake ni madictata wataweza jiundia jeshi hata la watu milion 3 na kutesa dunia .aidha hawa watu wanaweza kuja kuwa makatili maana hawana roho na kwa kuwa ni wazi watakuwa na akili kuliko sisi waweza Tusumbua sana .
...aha... Asante sana mkuu nimekuelewa... Ngoja nianze kuchangia sasa...
 
...ni kweli... Lakn sizani kama itakuwa rahisi... Itakuwa inagharimu kias kikubwa cha pesa... Hata hvo upande wa hofu ni lazima iwepo lakn naiman hawa viumbe hawataweza kuhimili hali ya hewa hata maisha yao hayatakuwa marefu pia... Kama ni suala la kutishia aman kuhusu madikteta ni kwamba hata robots walipoanza nao pia watu walikua wanahofia... Lakini matumizi mazuri ni bora zaidi na ni salama pia... Na matumizi mabaya yataathiri pia... Na kuhusu madhara yake ni kila kitu kina madhara endapo kitatumika vibaya... Pia namuunga mkono mleta mada kusema wapo kinyume na mwenyezi mungu kama mtu mwenye imani pia...
 
Haya mazungu yatatuharibia dunia
 
Eti maana hawana roho.....unachekesha....rudia kusoma kaumbwa kutokana na stem cell inayopatikana kwenye born marrow (ugoko wa binaadamu)
Mkuu mm nimetafsiri sio kauli yangu.hivo hoji kama nimetafsiri tofauti.amesema they don't have souls .soul ni nnkwa kiswahili?
 
Haya mazungu yatatuharibia dunia
Wanapiga kazi mkuu, katika research wanewekeza na ndo maana walituburuza sana kama misukule na kwenda tulimisha mashamba yao hapo zamani
 
Mkuu mm nimetafsiri sio kauli yangu.hivo hoji kama nimetafsiri tofauti.amesema they don't have souls .soul ni nnkwa kiswahili?
Hawana baba wala mama yaani mtu mmoja unaweza kwenda maabara na wakakutengenezea mtoto unayemtaka (kike,kiume) kwa kutumia bone marrow yako
 
Back
Top Bottom