stow away
JF-Expert Member
- Dec 5, 2022
- 11,073
- 21,945
Mzee wangu hauna Kolo hapo chini?Ni muda sasa wa kuzisaka zaidi ili nifikie gharama zao nimiliki toto langu dadeki na mimi nivimbe...
Nimeona kuna watu wanakosoa, ila hawajitambui, hawajui maana ya kuwa na familia na pia ni wa binafsi kwani hawawazii kwa upande wa wakosa korodani wanahisi vipi?