Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 301,577
- 754,412
- Thread starter
- #161
Mda huo wewe unaivuta then yeye anavuta hewa ipi? Au anatumia mbinu ipi kukuvutisha?
Scopolamine Burundanga ni nini?Nasubiria maelezo ya kina hapa
Jr[emoji769]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mda huo wewe unaivuta then yeye anavuta hewa ipi? Au anatumia mbinu ipi kukuvutisha?
Scopolamine Burundanga ni nini?Nasubiria maelezo ya kina hapa
Picha haifunguki mkuu[emoji2827][emoji2827][emoji2827]
Jr[emoji769]
Abusive language.
unajitahidi kujibetua vizuri we mamaYea na kuna vichaa watz hapa ambao wanacomment kuhusu suala ambalo hawajalielewa hata kidogo. Kisa lugha gongana, alafu wameamua kufa nayo hivyo hivyo, tu mithili ya mtu anayesoma gazeti juu chini. [emoji1] Kiswahili kinatosha pia, wapo wengi humu ambao wanaweza wakawapa tafsiri, acheni ubishoo. KQ wameulizia kuhusu uwezekano wa usafiri wa anga kurejea nchini Malawi, wakiwa na nia ya kuanza safari zao. Ila wamalawi wakajibu kwamba hawajafungua anga zao kwa ndege zozote kutoka nje ya Malawi. Wanasema kwa sasa bado wanaendelea na shughuli za kuwezesha usafiri wa anga ambao utatilia maanani tahadhari dhidi ya maambukizi ya COVID-19. Eti KQ imepigwa stop, kwani ATCL au hata ET na Emirates wamekubaliwa? [emoji1] Si huwa mnafunzwa kwa kiingereza kuanzia kidato cha kwanza? Sasa nikisema kwamba wote ambao hamkuelewa hata sentensi moja tu ya barua hiyo ni madrop out wa darasa la saba nimekosea? [emoji1]
😂😂😂. Endelea kujikakamua
😂😂😂😂
Unadai Dar es Salaam umeacha alama itakayodumu milele??? Ni alama gani hiyo?
Ulikuwa mkuu wa mkoa ukilipwa mshahara na posho za kutosha hivyo ulikuwa ni wajibu wako kiwatumikia wananchi. Ukikuwa hutoi msaada.
Wapo wakuu wa mikoa waliopita kabla yako na walifanya mambo makubwa ndani ya jiji la Dar ila walikuwa hawachukui sifa kibinafsi, sifa zote walikuwa wanaipa serikali. Acha ubinafsi kijana. Walikuwepo wakuu wa mikoa wengi sana hapo Dar na walipita pasipo kujichukulia utukufu "eti nimeacha alama itakayodumu milele"
Baadhi yao ni:
Luteni Yusufu Makamba
Kapteni Ditopile Mzuzuri
Wiliam Lukuvi
Sebastian Kandoro
Mecky Sadick n.k
Punguza sifa bwana mdogo
Sent from my Infinix Zero 3 using JamiiForums mobile app
Mimi nakumbuka alama iliyoachwa na John Mhaville.......Nguvu Kazi!
Abbas Kandoro sio Sebastian Kandoro
[emoji15][emoji3064][emoji15][emoji3064]Mods Mungu anawaona. Kwanini muunganishe uzi??? Kuweni fair
Sent from my Infinix Zero 3 using JamiiForums mobile app
[emoji15][emoji3064][emoji15][emoji3064]Mods Mungu anawaona. Kwanini muunganishe uzi??? Kuweni fair
Sent from my Infinix Zero 3 using JamiiForums mobile app