Scopolamine Burundanga ni nini?

Scopolamine Burundanga ni nini?

The most dangerous drug in the world: 'Devil's Breath' chemical from Colombia can block free will, wipe memory and even kill
  • Scopolamine often blown into faces of victims or added to drinks
  • Within minutes, victims are like 'zombies' - coherent, but with no free will
  • Some victims report emptying bank accounts to robbers or helping them pillage own house
  • Drug is made from borrachero tree, which is common in Colombia
[emoji15] [emoji15] [emoji144] [emoji144] [emoji144]
 
Hilo ua mbona kijijini kwetu yapo kibao umenikumbusha kipindi niko mdogo hivi tulikuwa tunasubiri nyuki akiingia humo ndani tunafungia huko kwa kubinga hapo juu basi ni mwendo wa mziki mwanzo mwisho hadi afie humo maana zile kelele zake ni gitaa tosha
 
[emoji15] [emoji15] [emoji23] [emoji23] [emoji23] dhambi za utotoni
 
Ni kweli nyumba ya babu imezungukwa na miti hiyo kibao basi tukiendaga kwa babu tunarudi nayo na nyuki kibao tunasikiliza gitaa mdogo mdogo[emoji13] [emoji13] [emoji13]
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] mateso ya nyuki furaha kwenu....utoto raha sana
 
Sio nyuki tuu na wale nyigu wanaochimba mashimo chini na kuingiza huko mdudu nao ni bududani tosha tulikuwa tunawakamata tunawafungia kwenye ganda tupu la kiberiti kile cha njiti alafu tunafungua kidogo ili atoke basi akitoa kichwa tuu nje tunakibania pale mlangoni kama tunamnyonga hivi basi mlio unaotoka hapo subwoofer haioni [emoji13] [emoji13]
 
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji87] [emoji87] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Mshana Jr aliwahi kuzungumzia hii makitu miaka ya nyuma.

Scopolamine burundanga ni kemikali hatari Sana ambayo mtu akiinusa tu inampotezea uwezo wa kuwaza na kufikiri na hivyo kumpelekea mtu kufanya matendo ambayo Hana udhibiti nayo.

Inashambulia ufahamu kwa haraka na kuharibu utambuzi.

Matapeli wa kariakoo zamani waliitumia kuibia watu akikugusa nayo tu unamfwata mwenyewe bila kupeeeeendaaa.

Scopolamine burundanga.

Super B.
 
Mda huo wewe unaivuta then yeye anavuta hewa ipi? Au anatumia mbinu ipi kukuvutisha?
 
Back
Top Bottom