Scopolamine Burundanga ni nini?

Mashirika kama CIA wanaitumia kila mara kuwahoji magaidi. Akipewa mtu lazima aongee Siri zote.
 
Hilo kule kwetu huwa lipo, mmmh, maisha haya kumbe ndiyo kazi yake
 
Post in thread 'Malawi nao wapiga stop Kenya airways' by Millitarydoctor has been reported by pingli-nywee. Reason given:
Abusive language.

Content being reported:
 
Mshana hebu nifundishe jinsi ya kumix hii kitu wallahi.Make kuna rafiki yangu kipenzi aliwahi nidhulumu gari langu nilishindwa hata nifanye vipi aisee
 
Unadai Dar es Salaam umeacha alama itakayodumu milele??? Ni alama gani hiyo?

Ulikuwa mkuu wa mkoa ukilipwa mshahara na posho za kutosha hivyo ulikuwa ni wajibu wako kiwatumikia wananchi. Ukikuwa hutoi msaada.

Wapo wakuu wa mikoa waliopita kabla yako na walifanya mambo makubwa ndani ya jiji la Dar ila walikuwa hawachukui sifa kibinafsi, sifa zote walikuwa wanaipa serikali. Acha ubinafsi kijana. Walikuwepo wakuu wa mikoa wengi sana hapo Dar na walipita pasipo kujichukulia utukufu "eti nimeacha alama itakayodumu milele"

Baadhi yao ni:

Luteni Yusufu Makamba
Kapteni Ditopile Mzuzuri
Wiliam Lukuvi
Sebastian Kandoro
Mecky Sadick n.k

Punguza sifa bwana mdogo

Sent from my Infinix Zero 3 using JamiiForums mobile app
 
Wasukuma ndivyo walivyo hujui?
Mimi nakumbuka alama iliyoachwa na John Mhaville.......Nguvu Kazi!
Abbas Kandoro sio Sebastian Kandoro
 
Jamani hiyo scopolamine ambayo ipo ready made tunaipata wapi mwenye connection
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…