Scout toka ulaya: Simba vichekesho havita isha

Sasa kinyesi fc mnaumia nini???mtu ndo kwanza kaajiriwa hajaleta hata mchezaji mmoja,kweli kuwa utopolo ni kipaji.
Msimu ujao mtaanza kulalamika kuwa tunatumia bahasha ......
 
Huyu scout mkuu mbali na kuwa mkuu wa mashabiki wa makolo kule kwao lakini pia alikuwa ni meneja wa kiwanda cha vibiriti cha mo huko kwao kwa hiyo ni mzuri katika kukiwasha.
Mudi sijui anawaza Nini[emoji38]
 
Hebu tueleze scout wenu aliyewaletea mchezaji wa Epl mkakaa naye miezi sita au huyu aliyewaletea beki wa CAF Doumbia ambaye mpaka Sasa kocha hamwamini
 

Kwani scouting unaangalia utaifa au ni taaluma inayo base kwenye tactical na technique za player ?

Waafrica ficheni uzuzu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…