Yoav Gallant
JF-Expert Member
- May 23, 2023
- 2,122
- 4,699
Mpira wetu makolo kivyetuvyetu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mzungu yeyote anae Kuja kufanya kazi Tanzania ujue ni reject huyuKwa sababi ni mzungu. Mbali na simba huyu jamaa keshafanya wapi hiyo kazi??
WowHuyo hapo akifanya scout kwenye mibuyu.
View attachment 2636124
Duuuuh huyu wa mchongoHuyo hapo akifanya scout kwenye mibuyu.
View attachment 2636124
Maoni ya mwanachama
Je huyu scout atasajiri wazungu (kina Dejan) kutoka uholanzi au wachezaji wa hapa hapa Africa [emoji38][emoji38]
...................................
Hivi Simba SC tuna akili kweli mtu alikuwa kiongozi wa mashabiki huko uholanzi leo kawa skauti ya usajili [emoji881] acha tuone kila msimu tunaanzaga hivi hivi mnatupumbaza mashabiki na ivi mshatufanya kama mashabiki wa UTOPOLO[emoji1732][emoji1732][emoji1732]
Fikiria timu haina mtu wa kufatilia mechi au mpinzani anaecheza na SIMBA yuko vipi mzuri wapi na anamazaifu yapi ndo mnaajili mshabiki tafuteni watu husika skauti ndiyo ilitakiwa kuboresha lakini so kwa kumchukua mshabiki kisa tu anaishi uholanzi wana simba na msimu huu tunapigwa za uso labda Mungu tu atusaidie [emoji120][emoji120][emoji120]
NB: huyu ni sawa kubwa[emoji38][emoji38]View attachment 2635296