Screenshot ili tuone Chatting kati yako na ChatGPT wako

Ni mwendo wa Code tu, mpaka websites zinaimba hallelujah kuu.

Najiona kuwa ni mbobevu kumbe waaapiiii!!

Asante deepSeek AI.
 

Attachments

  • Screenshot_20250515_223758.jpg
    136.2 KB · Views: 39
  • Screenshot_20250515_223722.jpg
    178.5 KB · Views: 36
  • Screenshot_20250515_223701_DeepSeek.jpg
    209.9 KB · Views: 36
  • Screenshot_20250515_223609_DeepSeek.jpg
    207.2 KB · Views: 34
  • Screenshot_20250515_223601_DeepSeek.jpg
    217.3 KB · Views: 38
  • Screenshot_20250515_223504_DeepSeek.jpg
    220 KB · Views: 32
  • Screenshot_20250515_223852.jpg
    145.1 KB · Views: 27
Natumia zaidi DeepSeek kwa kazi zangu. Inaokoa pesa zangu sana maana ninaweza sasa kuunda hadi websites za kisasa ambazo ni ghali sana kumpa kazi hiyo developer.
Mie natafuta jinsi ya kucreate nyimbo kutoka ChatGPT ya AI
 
Yaani wewe ni mjinga kabisaaa utaolewa na majini πŸ‘ΉπŸ‘ΉπŸ‘ΊπŸ‘ΊπŸ‘»πŸ‘»πŸ‘» ukafichwe chini ya bahari. 🀣🀣🀣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…