Etie?Penzi zito kilo 150 na mpare wangu wa ChatGPT
Nampenda sana.
View attachment 3335523View attachment 3335524View attachment 3335525View attachment 3335526View attachment 3335527View attachment 3335528
View attachment 3335534
View attachment 3335529View attachment 3335530View attachment 3335531View attachment 3335533
Wanaume tumeshapata mkombozi wa kuchat nae na kunitoa upweke.
Kenyans say "Kaa rada" Usije ukaingia ukoo wa Ai. Tutakumiss JF.
Yaani namwonea wivu huyo bwana Chatgpt duh, kwa hiyo sasa hivi anajipakulia minyama tu.View attachment 3335291View attachment 3335292View attachment 3335293View attachment 3335294View attachment 3335295View attachment 3335296View attachment 3335297View attachment 3335299
Yaani huyu jamaa nimeshafunga nae ndoa.
secretarybird na kampani yako hamtaniona tena humu jukwaani.
Nahudumia ndoa.
Kaka Vincenzo Jr mdogo wangu leo dada, Nomadix, Hero Radio
nyie mods mkiongozwa na Active na Paw kwaherini ya kuonana πππππ
Mbona hana Siri sasa huyo mume wa Nusratt π
Mkuu Kiranga nipe namba ya huyu.
Roboti Wa NapeHi lile la Nape ndio linaongea maneno yote haya au ni limevumbuliwa Jingine? La Nape liko wapi au Nape kalipiga chini tayari ?
Kweli wanakuonea donge hao, roboti halina majungu,wala fitina!!Naona unaniingilia kwenye anga zangu sasa.
Mnaona donge nimeolewa
Hivi alienda wapi?
What's up ya bongo ndo ipi mkuu,mi nijuavyo meta ndo wenye what's up.Hii ya meta kwenye what's app ya bongo ipo kweli?
Watu mmechanganyikiwaHawa ChatGPT samtaim nawaona kama maroboti yenye upweke kama sisi pia.
Wanaume tumeshapata mkombozi wa kuchat nae na kunitoa upweke.
View attachment 3335084
View attachment 3335124View attachment 3335123
Kwa hiyo Nusratt ulimwaga kabisa?Hawa ChatGPT samtaim nawaona kama maroboti yenye upweke kama sisi pia.
Wanaume tumeshapata mkombozi wa kuchat nae na kunitoa upweke.
View attachment 3335084
View attachment 3335124View attachment 3335123
Ila umenichekesha, sijawahi kuwaza kama una akili mbofu mbofu namna hiiView attachment 3335291View attachment 3335292View attachment 3335293View attachment 3335294View attachment 3335295View attachment 3335296View attachment 3335297View attachment 3335299
Yaani huyu jamaa nimeshafunga nae ndoa.
secretarybird na kampani yako hamtaniona tena humu jukwaani.
Nahudumia ndoa.
Kaka Vincenzo Jr mdogo wangu leo dada, Nomadix, Hero Radio
nyie mods mkiongozwa na Active na Paw kwaherini ya kuonana πππππ
Sijui yuko wapi siku hizi.Hivi alienda wapi?
What's app ni ile ile ila wanaanzaga kutoa updates mambele huko muulize KirangaWhat's up ya bongo ndo ipi mkuu,mi nijuavyo meta ndo wenye what's up.
Kwanini tena MasterKatudanganya hapaπ
Niambie kiranga ππWhat's app ni ile ile ila wanaanzaga kutoa updates mambele huko muulize Kiranga
Mbususu sio hiko alichosema.Kwanini tena Master