SCREENSHOTS: Wimbo gani unasikiliza sasa hivi?

Kabla ya Mkwawa nimetoka Lugalo... Kutoka Kihesa,katishia Mtwivila kwenye vitindi hadi Makanyagio vilabuni
Aiseee, umesoma Lugalo kipindi cha marehemu Salingwa nini ???
Vitindi vya Mtwivila vilikuwa ni hatari sana, siku naona vimepungua na wamewekewa hadi lami.....
 
Ndiyo mkuu, mwaka wa mwisho nikamaliza mikononi mwa Kitemangu...

Sijapita muda mrefu huko, serikali imejitahidi sana kuboresha miundo mbinu
 
Daah, Iringa niliishia miaka hiyo......
Japo huwa naenda sana kuangalia baadhi ya mambo....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…