MALCOM LUMUMBA
JF-Expert Member
- Jul 26, 2012
- 21,113
- 65,124
Aiseee, umesoma Lugalo kipindi cha marehemu Salingwa nini ???Kabla ya Mkwawa nimetoka Lugalo... Kutoka Kihesa,katishia Mtwivila kwenye vitindi hadi Makanyagio vilabuni
Vitindi vya Mtwivila vilikuwa ni hatari sana, siku naona vimepungua na wamewekewa hadi lami.....