SCREENSHOTS: Wimbo gani unasikiliza sasa hivi?

SCREENSHOTS: Wimbo gani unasikiliza sasa hivi?

.
Screenshot_2022-09-26-11-58-06-13_0438eb925998df20b3482ec25499d226.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Fresh brother

Mimi huwa inanikumbusha enzi nakaa na sister angu mmoja home tunatambaa na lyrics 😁😁

Ila Favorite song ilikuwa

I'm your angel.. Mimi R kelly, yeye celine deon as if tuna hizo sauti 😁😁
Mimi nakumbuka mwaka 2005 hiyo, kwenye sherehe nilikuwa nimekamatia totoz za kwa malkia...
Halafu hii ngoma inapigwa taratibu, aiseee The Things I did When I was Young....😁😁😁😁
 
Back
Top Bottom