SCREENSHOTS: Wimbo gani unasikiliza sasa hivi?

SCREENSHOTS: Wimbo gani unasikiliza sasa hivi?

Screenshot 2022-09-27 225236.png
 
Mimi nakumbuka mwaka 2005 hiyo, kwenye sherehe nilikuwa nimekamatia totoz za kwa malkia...
Halafu hii ngoma inapigwa taratibu, aiseee The Things I did When I was Young....😁😁😁😁

Hahaaaa itabidi unisimulie maana enzi hizo sijui mapenzi ni nini 😁😁😁, memories are forever young kind of thngz
 
Back
Top Bottom