Martin Garrix yuko vizuri...
Lile dude nalinyaka, limekaa poa mno.!Martin Garrix yuko vizuri...
Kuna dude na Bebe rexha pia linaitwa In the name of love
Dogo unazingua 😄 screensaver ya kwako mwenyewe hiyo 🔥🔥🔥🔥raraa reree ulikuwa ushazaliwa 😂View attachment 2910792
Nilichukua ushauri wako wa kuifanya wallpaper 🤣🤣 Imewakaa.!Dogo unazingua 😄 screensaver ya kwako mwenyewe hiyo 🔥🔥🔥🔥
Naitaka kama hiyo utaniuzia bei gani 😁Nilichukua ushauri wako wa kuifanya wallpaper 🤣🤣 Imewakaa.!
Hahaa njoo nikupe bure tuNaitaka kama hiyo utaniuzia bei gani 😁
Hahahahhaaaaaa aah kudadadadeki napewa bure hadi nimesisimka nakuja 🏃♂️😄Hahaa njoo nikupe bure tu
Hahaaa! WeweHahahahhaaaaaa aah kudadadadeki napewa bure hadi nimesisimka nakuja 🏃♂️😄
Jamaaaaani Depal weweeeeee 🤗Hahaaa! Wewe