ππDaaah, bless your heart........
Baba yangu alikuwa anaupenda sana huu wimbo......
Kama unamsikiliza hadi Mory Kante basi unajua muziki aiseee.....ππ
Napenda muziki wowote ule ili mradi ni mzuriKama unamsikiliza hadi Mory Kante basi unajua muziki aiseee.....
Umetisha RCT...
Wimbo umeimbwa kwa hisia sana