SCREENSHOTS: Wimbo gani unasikiliza sasa hivi?

SCREENSHOTS: Wimbo gani unasikiliza sasa hivi?

Mkono mtupu haulambwi
Na penzi tupu bila pesa halitambi utanipenda vipi? Mazonge yamepitiliza!
Screenshot_20221127-111307.jpg
 
Nayaona leo haya niliambiwaga nyuma unayempenda akijua atakuzingua!
Screenshot_20221127-112011.jpg
 
Nimekombolewa na yesu" aliyenirehemia kwa mauti ya damu yake" nimekuwa mtoto wake

Kombolewaaaa ×2 kombolewaa
Nakombolewa na damu ya yesu,
 
Back
Top Bottom