SCREENSHOTS: Wimbo gani unasikiliza sasa hivi?

Nayaona leo haya niliambiwaga nyuma unayempenda akijua atakuzingua!
 
Sikuiz mapenzi hakuna walio wengi wanatamani kamwambie!
 
Nimekombolewa na yesu" aliyenirehemia kwa mauti ya damu yake" nimekuwa mtoto wake

Kombolewaaaa ×2 kombolewaa
Nakombolewa na damu ya yesu,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…