SCREENSHOTS: Wimbo gani unasikiliza sasa hivi?

SCREENSHOTS: Wimbo gani unasikiliza sasa hivi?

Screenshot_20250418-112012.jpg
 
Weusi - Booty Hammer

Sura ya baba silaha mgongo...
Majita ndiyo wanapakia mkongo...
Kweli umefinywanga kwa udongo...

Dhambi kitu gani, motoni moja...
Maharage ya soya, moto ni moja...
Wanangu kitaani, ndoto ni moja...

Warembo wana mengi usiwe na mmoja...
Mapenzi yana wengi, ongeza moja...
I am rasta man chuma mboga...

Achana na ua, kula maboga...
Muache Paula, leteni mama...
Sishiki simu ya baby kwa baby mama...

Kwake nahamia, kwangu nahama...
Natawala kichina, kimoja chama...
Swala si swala, swala ni nyama...


Cc: Mahondaw
 
Kontawa - Champion

Eh!
Tumeishi na watu wanaoamini kwenye mpango wa Mungu kuna mkono wa mtu...
Tumeishi na watu wanaoamini sikukuu ndio siku ya kuchinja kuku, oya we (oya we)...
Tumeishi na watu wanaotembea na umeme lakini bado nyumbani walikosa luku (walikosa luku...

Eh! Tukaishi na watu ambao wanaoamini kwamba bahati-Bahati zote alipangiwa Bukuku...
Hapo mwanzoni waliamini hatutopata mafanikio...
Waliotufagilia wakauza mafagio...

Eh! Mtaani kwetu sio...
Mtu aliotoboa sana alitoboa sikio...
Chumba kimoja wanalala dada na kaka...

Watu hawatupi msosi hata ukichacha...
Baba jambazi, mtoto anajiuza mataani...
Mama mchawi nyumbani atabaki nani?...

Ah-yeah, I'm the winner...
I'm the champion...
Ah-yeah, I'm the winner...
I'm the champion (champion, champion)...



Cc: Mahondaw
 
Back
Top Bottom