Weusi - Booty Hammer
Sura ya baba silaha mgongo...
Majita ndiyo wanapakia mkongo...
Kweli umefinywanga kwa udongo...
Dhambi kitu gani, motoni moja...
Maharage ya soya, moto ni moja...
Wanangu kitaani, ndoto ni moja...
Warembo wana mengi usiwe na mmoja...
Mapenzi yana wengi, ongeza moja...
I am rasta man chuma mboga...
Achana na ua, kula maboga...
Muache Paula, leteni mama...
Sishiki simu ya baby kwa baby mama...
Kwake nahamia, kwangu nahama...
Natawala kichina, kimoja chama...
Swala si swala, swala ni nyama...
Cc:
Mahondaw