Kuna Sondela Dali pia mkuu kaisikilizeukiachilia ngoma inaitwa Vula sekele, pale south africa bas hii ni ngoma nyingine kali ya AMAPIANO naisikiliza bila kuchoka.
NGISHUTHENI
View attachment 3330418
Acha niende niichekKuna Sondela Dali pia mkuu kaisikilize
Watu ambao hawasikilizi aina hii ya muziki wanakosa vingi sana, alafu kuna ile In the name of love -Bebe Rexha x Martin Garrix ni 🔥🔥
Mwanangu hii kitu nilikua naitafuta, thanks, siku moja nilikuta iko mwishon inapigwa channel 10 nikashindwa kujua jina.Kuna Sondela Dali pia mkuu kaisikilize
HarryCane kapiga Dubula pia kama itakupendezaMwanangu hii kitu nilikua naitafuta, thanks, siku moja nilikuta iko mwishon inapigwa channel 10 nikashindwa kujua jina.
Huyu mwamba ndio yule kafanya "Vula Sekele" yuko vizuri sana
Pamoja sana mkuuHarryCane kapiga Dubula pia kama itakupendeza
Wanakosa vingi mno 😃😃😃Watu ambao hawasikilizi aina hii ya muziki wanakosa vingi sana, alafu kuna ile In the name of love -Bebe Rexha x Martin Garrix ni 🔥🔥