dosho12
JF-Expert Member
- May 6, 2023
- 4,965
- 13,552
๐๐๐ sio me ni OG nilikuwepo kipindi Tz inapata uhuru, nlikuwa na miaka kumi ๐๐Nawe wa buku mbili na mbili nini?๐ ๐
๐๐๐ sio me ni OG nilikuwepo kipindi Tz inapata uhuru, nlikuwa na miaka kumi ๐๐Nawe wa buku mbili na mbili nini?๐ ๐
Wewe ni wa buku mbili tu๐๐, nakuona unavyojikataa๐๐๐ sio me ni OG nilikuwepo kipindi Tz inapata uhuru, nlikuwa na miaka kumi ๐๐
watoto wa buku mbili wanasikiliza singeli na amapiano mi simu yangu imejaa ngoma za baraka mwishee๐๐ huwezi kumjua sababu we ndo wa buku mbili na mimi ni wa enzi hizo ๐๐๐Wewe ni wa buku mbili tu๐๐, nakuona unavyojikataa
๐คฃ๐คฃ๐คฃdaaah umehamisha magoli tena๐watoto wa buku mbili wanasikiliza singeli na amapiano mi simu yangu imejaa ngoma za baraka mwishee๐๐ huwezi kumjua sababu we ndo wa buku mbili na mimi ni wa enzi hizo ๐๐๐
Hebu tongazaneni haraka mnanimalizia bando kuwafatiliaโฆ!! ๐น๐นwatoto wa buku mbili wanasikiliza singeli na amapiano mi simu yangu imejaa ngoma za baraka mwishee๐๐ huwezi kumjua sababu we ndo wa buku mbili na mimi ni wa enzi hizo ๐๐๐
Umeanza ๐น๐น๐ฅ๐ฅ๐ฅโค๏ธโค๏ธโค๏ธ
Hii ni ya wallpaper kwanza wifi mtu..!!
Hivi Fally ni mtu au jini..??๐
Inategemea...watoto wa buku mbili wanasikiliza singeli na amapiano mi simu yangu imejaa ngoma za baraka mwishee๐๐ huwezi kumjua sababu we ndo wa buku mbili na mimi ni wa enzi hizo ๐๐๐