Spotify ni nzuri, ila mimi huwa natumia YT music bila kulipiaKati ya Spotify, Apple Music, YT Music, Boomplay, Mdundo, Audiomack, Deezer, Soundcloud ipi iko vizuri kulingana na bei unayoilipia?
Shukrani chief bila kulipia inakubali kupiga ngoma kwa audio + background + lockscreen.Spotify ni nzuri, ila mimi huwa natumia YT music bila kulipia
hamna haikubali hivyo, ukitaka udabwi udabwi ibabidi ulipia bwashee😁😁Shukrani chief bila kulipia inakubali kupiga ngoma kwa audio + background + lockscreen.
Haha dah itabidi nidake YouTube Premium yenye YT Music ndani yake kwa Tzs 8,300/=hamna haikubali hivyo, ukitaka udabwi udabwi ibabidi ulipia bwashee
Mi nimejaribu zote spotify naona ni bora zaidi, bei ni 7500, ninachoikubali ni feature ya crossfade, hizo YT na wenzake hazina.Haha dah itabidi nidake YouTube Premium yenye YT Music ndani yake kwa Tzs 8,300/=
Spotify nawachangia Sana pesa nalipia 6900 kwa MastercardKati ya Spotify, Apple Music, YT Music, Boomplay, Mdundo, Audiomack, Deezer, Soundcloud ipi iko vizuri kulingana na bei unayoilipia?
Unapata value ya kile unachokilipia kwa Apple Music?! is it worth it?Spotify nawachangia Sana pesa nalipia 6900 kwa Mastercard
apple music nalipia 26,523 nzuri sana kwangu ni apple music
Exactly 💯Unapata value ya kile unachokilipia kwa Apple Music?! is it worth it?
Nimekumis 😎Huna baya☺️