Audiomack unatafuta nini sasa huko 🤣Nimenote kitu
Audiomack ina sauti kali sana kuzidi Apple Music. Apple music mziki umetulia, Audio mack nashusha sauti hadi 1 aisee ndio napata nafuu 😁
Mastercard yangu ilizingua ya mpesaAudiomack unatafuta nini sasa huko 🤣
Kutoka Apple music kwenda audiomack ni sawa na kushuka kwenye V8 alafu ukapande Bajaj😅Mastercard yangu ilizingua ya mpesa
Na nikamiss kuzikiliza music sana ikabidi nisogee audiomack… ila mhh ni ushubwada sana.
Ni sababu tu mastercard yangu ilisumbua kwa jana. NimeshaisolveKutoka Apple music kwenda audiomack ni sawa na kushuka kwenye V8 alafu ukapande Bajaj😅
Apple music mbabe wake ni Tidal
Pole aisee, kwa mtu unayependa good music huwezi vumilia audiomack😅Ni sababu tu mastercard yangu ilisumbua kwa jana. Nimeshaisolve
Yan niliposikiliza tu Audiomack nikaona utofauti mapema sana. Watumiaji wake wana moyo au laah hawajawahi taste Apple Music
View attachment 3474603
Youtube kwenye miziki ya afrika ndio wanaongoza kwa kuwa na nyimbo nyingi sana alafu wanafata boomplay. Kwa miziki ya kimambele ni spotify na youtube.
Rock with it boy